Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kumbumbu zangu zinasema CORONA iliingia kwa nguvu toka India mwaka jana, baada ya kuwepo tamasha la Diwali lililoalika watu toka India kwa wingi.
Tanzania na India tuna mahusiano makubwa ya kibiashara na watu wengi huja na wengine kwenda India.
Sasa hivi gonjwa la covid linatesa huko India.
Tunaomba serikali kuchukua tahadhari za makusudi ili kuzuia maambukizi kuingia nchini kwa wingi.