denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Wewe kichwa maji hujui hata hiyo 2% yako inaweza kuongezeka kama kelele hazitapigwa watu wachukue hatua za kujilinda?We jamaa inaonekana unapenda sana story za CORONA unakaa unawashwa washwa kuhusu CORONA. Huwa nahisi huangalii BBC wala CNN, ungeona wazungu wanavyodondoshwa na COVID ndo ungeelewa wanaosema bongo hakuna Corona wanaweza kuwa sahihi. Tanzania haijaathirika hata kwa %2 ukilinganisha na nchi za wazungu. Watu wanaendelea na maisha yao na very soon hizo barakoa hutaziona.
Wacha ubishi, nawa mikono kwa maji tiririka, vaa barakoa unapokuwa kwenye misongamano ujikinge wewe na waliokuzunguka.