Wewe kichwa maji hujui hata hiyo 2% yako inaweza kuongezeka kama kelele hazitapigwa watu wachukue hatua za kujilinda?We jamaa inaonekana unapenda sana story za CORONA unakaa unawashwa washwa kuhusu CORONA. Huwa nahisi huangalii BBC wala CNN, ungeona wazungu wanavyodondoshwa na COVID ndo ungeelewa wanaosema bongo hakuna Corona wanaweza kuwa sahihi. Tanzania haijaathirika hata kwa %2 ukilinganisha na nchi za wazungu. Watu wanaendelea na maisha yao na very soon hizo barakoa hutaziona.
We utakuwa huishi DarHata %2 ni nyingi nadhani ni %0.0002 au chini ya hapo, barakoa kwa Dar inatafutwa kwa tochi
We jamaa inaonekana unapenda sana story za CORONA. Huwa nahisi huangalii BBC wala CNN, ungeona wazungu wanavyodondoshwa na COVID ndo ungeelewa wanaosema bongo hakuna Corona wanaweza kuwa sahihi.
Tanzania haijaathirika hata kwa 2% ukilinganisha na nchi za wazungu. Watu wanaendelea na maisha yao na very soon hizo barakoa hutaziona.
Ata mm saiz ndio nmeamin nilivyoona watu karbu yang wanavyotutoka....Allah atulinde na ili gonjwawatu close na mimi wamekufa this week, Campaign mpya should be JILINDE kwa manufaa ya FAMILIA yako, usingoje Magufuli au Gwajima kasema nini,hawatakuwepo kulea familia yako utakapokufa za kuambiwa changanya na zako.
Hata %2 ni nyingi nadhani ni %0.0002 au chini ya hapo, barakoa kwa Dar inatafutwa kwa tochi.
Hata mimi kuna Mzee, family friend anefariki jana kwa huu ugonjwa. Shemeji yangu alilazwa Siku 6 Hindu Mandal kwa huu ugonjwa. Sasa Hawa watu wanadai kuwa hakuna Corona sijui wanaishi nchi gani tofauti na Tanzania.watu close na mimi wamekufa this week, Campaign mpya should be JILINDE kwa manufaa ya FAMILIA yako, usingoje Magufuli au Gwajima kasema nini,hawatakuwepo kulea familia yako utakapokufa za kuambiwa changanya na zako.