Mshiiri
JF-Expert Member
- Jun 16, 2008
- 2,012
- 512
Africa chumi zake zote ni kaanga tule, hamna reserve ya kuwalisha hata wananchi wake milo mitatu kamili kwa siku moja... angalia sana... wao ni viongozi wao kuishi kama malaika pekee na hivi kusema viongozi wa waafrica kote barani ni wakoloni wa wananchi wao. Hamna watumishi wengi wa dhati... angalia tu utaona ... hamna hata kiongozi mmoja huwaza maisha ya watanzania kwa dhati zaidi ya kununua magari na kusihi maisha kama ya walimwengu wa kwanza ili hali wananchi wao ni ulimwengu wa tatu kama siyo wa nne... Ukichukua viongozi wote wa Afrika na maisha wanayoishi ni zaidi ya wanavyoishi wale wa ulimwengu wa kwanza - viongozi wao pamoja na raia wao wa ulimwengu wa kwanza.. Sasa najiuliza ikiwa wanajua kujipa vilivyo vizuri wanashindwaje kuwapa wananchi cake ya taifa zao. Nikakuta ubinafsi, ulaghai, ujinga, na list ni ndefu