Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Corona yaendelea kuwatoa utu mabeberu.
Kampuni ya utengenezaji wa vifaa tiba ya Uswizi, imelalamika kuwa Ufaransa imewachezea rafu mbaya mno Italy na Spain baada ya kuhodhi mzigo wa mamilioni ya mask za uso na glovu zilizokuwa zinasafirishwa kwenda kwenda Itali na Spain kupunguza maambukizi ya corona.
Kampuni hiyo imesema hiko kitendo ni cha kuudhi mno na kilichokosa uungwana.
Imesema itasafirisha mzigo mwingine kwenda Italy na Spain ila kupitia Ubelgiji.
Pia imeripotiwa kuwa Ujerumani nayo ilifanya uharamia kama huo wiki iliyopita baada ya kuhodhi shehena ya mask toka China iliyokuwa yasafirishwa kwenda Italy kupitia Ujerumani.