Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Kama nyinyi mnvyoibiana wenyewe kwa wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nyinyi mnvyoibiana wenyewe kwa wenyewe
Kabisa mkuu na jiandae maana kaa hii post yako yamakavu live lazma wakuchane waone umewatukania mabwana zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenyezimungu hamfichi mnafiki mwaka wao huu kwa wale wenye akili tu ndio wataelewa wazungu ni watu gani Ila kwa wale walishakuwa watumwa wa wazungu toka tumboni wataona kawaida tu maana Kuna watu humu bora umseme vibaya muumba kuliko kumsema mzungu [emoji3][emoji3][emoji40][emoji40][emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikitokea hizo jumuiya kufa ntafurahika sana asee maana hazina zaidi ya uonevu tu shenzi zao kabisaKuna uwezekano baada ya Corona kuisha EU na NATO zitakuwa na hali mbaya itakayopelekea utengano
Siyo wazungu mkuu hivi ndivyo hali itakuwa pale tatizo linapoisumbu dunia au kama baaa LA njaa litokee nchini kwetu ukiona chakula kinapiti nje kwako lazima ukivamie kama umeenda mbugani ndyo utajua nn namaanishaMwenyezimungu hamfichi mnafiki mwaka wao huu kwa wale wenye akili tu ndio wataelewa wazungu ni watu gani Ila kwa wale walishakuwa watumwa wa wazungu toka tumboni wataona kawaida tu maana Kuna watu humu bora umseme vibaya muumba kuliko kumsema mzungu [emoji3][emoji3][emoji40][emoji40][emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app