Corona; Ufaransa yahodhi shehena ya mask zilizokuwa zipelekwe Italy na Spain

maana Kuna watu humu bora umseme vibaya muumba kuliko kumsema mzungu [emoji3][emoji3][emoji40][emoji40][emoji40] Kabisa mkuu na jiandae maana kaa hii post yako yamakavu live lazma wakuchane waone umewatukania mabwana zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Root
Missile of the Nation

Sent using My COVID-19
 
Kuna uwezekano baada ya Corona kuisha EU na NATO zitakuwa na hali mbaya itakayopelekea utengano
Ikitokea hizo jumuiya kufa ntafurahika sana asee maana hazina zaidi ya uonevu tu shenzi zao kabisa

Sent using My COVID-19
 
Siyo wazungu mkuu hivi ndivyo hali itakuwa pale tatizo linapoisumbu dunia au kama baaa LA njaa litokee nchini kwetu ukiona chakula kinapiti nje kwako lazima ukivamie kama umeenda mbugani ndyo utajua nn namaanisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…