CORONA VIRUS(COVID_19) Ni mbinu ya CHINA kuzima maandamano ya Hongkong na Alarm kwa Mabeberu juu ya biological warfare ya CHINA.

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
Ni wazi kwamba China isingeliweza kutumia mbinu ya kuzima maandamano ya Hongkong kwa nguvu kama ilipotumia nguvu kubwa kuzima maandamano ya Tianamen kati ya juni 3 na juni 4 mwaka 1989 iliyopelekea kuuawa kwa watu zaidi ya 1000

China imeona hatari kubwa ya kugawanywa kulingana na vugu vugu ambalo lilikuwa limeanzia HONGKONG hili lingeendelea lingeathiri Uchumi wa China kwa miaka yote maana lingeondoa Sera ya China moja

Corona Virus ni virus ambao hata sisi tunakutana nao kwenye mazingira yetu kutoka kwa Polo, panya, nyoka etc

Covid- 19 amerutubishwa kwenye maabara yaani amekuwa genetically Engineered na specifically anafanya madhara kwa binadamu tu na si vinginevyo

Ukiangalia wahusika wakuu akiwemo Daktari aliyetoa taarifa mapema amekufa akiwemo na Mkurugenzi mkuu wa Hospitali lengo ni kupoteza ushahidi kutoka kwa watu ambao hawajanywa maji ya Bendera

Kwa hiyo watakaobaki na hiyo Siri ni wanywa maji ya Bendera ya nchi ambao State house ndo nyumbani kwao
 
Hata hivyo ni suala la muda tu uongo utajulikana tu, maana huwezi kuwadanganya watu muda wote.
 
[emoji732][emoji732][emoji732]lingeathiri Uchumi wa China kwa miaka yote[emoji732][emoji732][emoji732]


Shida yangu iko kwenye hiyo sentence[emoji3595] hapo juu . Kwasababu Kama kweli ilikuwa ndo sababu basi Uchumi wao waliwnza kuua kuanzia happy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajuaji tayari wameshaibuka, usikeshangaa kuwa kaikuta Facebook hii na kaamua my hamishia JF.

Sasa kama wewe unajua zaidi si Waandikie WHO uwapelekee!
 
Wazee wa conspiracy theory. No ebidence no right to speak
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…