Corona Virus imetengenezwa? Virusi hivyo vilibashiriwa katika Kitabu mwaka 1981

Kuna watu wamekalili kupinga kila kitu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Na utakuta hapo alipo ana elimu kubwa tu lakini ndiyo akili yake imeishia hapo alipo.Umesikia Jambo kama hilo.Ingia kwenye Source tafuta upate maarifa.

Hawa ndio wanatupa nyakati ngumu sana kufanya wasomi waonekane wote hawajielewi.

Angalieni mfano FRINGE..The Lastship na series kama Walking Dead.Watu hawatungi tu Vitu from no where.Kuna vitu vingi sana.
 
Hamna kitabu kilichoandika hayo mkuu...propaganda za westerners hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia hapo tafuta hicho kitabu..soma.Kama Lugha haipandi tafuta tu sehemu wameandika Wuhan 400.Utaona tu japo ikusaidie.
 
Ile outbreak ya mle si mchezo, hata ile tiba yake ya kutumia air spraying medicine si mchezo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…