Corona Virus imetengenezwa? Virusi hivyo vilibashiriwa katika Kitabu mwaka 1981

Corona Virus imetengenezwa? Virusi hivyo vilibashiriwa katika Kitabu mwaka 1981

Brother!you deserve better than this! "Ni heri mjinga anayejielewa kuliko mpumbavu asiyeutambua upumbavu wake" Think this statement critically in reference to your life,hoja hujibiwa Kwa hoja makini na ulichojibu unaonyesha walakini kwenye fikra zako
Kama ilivyo na walakini pia kwenye fikra zako.Hukujibu hoja yoyote hapo Brother!Umeleta malalamiko.Sio hoja ya kujenga.So kwangu utabaki mpumbavu tu kama ilivyo kwa akili yako.
 
F
Kuna tatizo gani kushare habari hata kama ni ya uzushi?? Mi nadhani hii inaweza kusaidi sehemu ya utafiti kujua chanzo cha ugonjwa
My friend;fiction has no place in real science!😂😂😂 According to some experts inadhaniwa source ni popo,na host aliyepeleka ugonjwa Kwa binadamu ni kakakuona
"Uzushi ni hali ya kueneza habari zisizo na ukweli au habari za uongo kabisa"-Wikipedia
 
I
Kama ilivyo na walakini pia kwenye fikra zako.Hukujibu hoja yoyote hapo Brother!Umeleta malalamiko.Sio hoja ya kujenga.So kwangu utabaki mpumbavu tu kama ilivyo kwa akili yako.
Nilikwambia think critically abt that statement kujihusu wewe;it was simple,plain and clear.kwa ujenzi wako wa hoja hata sisi vipofu hatuwezi kukubali kuongozwa na fikra kama zako.
 
I
Nilikwambia think critically abt that statement kujihusu wewe;it was simple,plain and clear.kwa ujenzi wako wa hoja hata sisi vipofu hatuwezi kukubali kuongozwa na fikra kama zako.
Binafsi pia siwezi kuongozwa na fikra zako.
 
Niko chapter ya 4 hapa bado sijakutana na corona.. bado Tina anapambana na kifo cha mwanae Danny.. nikifika mwisho wa kitabu nitatoa mrejesho
 
Hiyo ni genuine page ya hicho kitabu. Nilichoelewa ni kwamba version ya 1981 ya hicho kitabu jina original lilikua ni Gorki-400. Ila version ya 2008 ya hicho kitabu ndio walibadili wakaweka wuhan-400 ingawa prediction ya kitabu haiendi sawa na mashambulizi ya virus huyu kama ulivyoeleza hapo.View attachment 1363510View attachment 1363513
Lakini alitabiri muda ni 2020 na mji ni Wuhan??
 
Wanaoiongoza hi dunia wataamua lini uwe mwisho wake!! nina maana kwamba Bidadamu anaweza kuamua tarehe ngapi ndio uwe mwisho wa dunia...hili nafikiri wote mtakubaliana na mimi.
 
Shushia Maandazi,
The thread is closed,hii dunia sio ya kuamini kila kitu,ndio maana wanasema 'don't trust any one and sometimes don't even trust yourself'...
 
Chapter 39
Amna sijaulizia hyo....chapta 39 si inaongelea kina tina na danny wanatoroka wako lab wanasimuliwa na dombey?
Mi nlkuwa naulzia hiyo picha ya kwanza kabsa aloweka mtoa uzi,,,kuhusu in 2020 pneumonia like disease will....
 
Hata kuuita Wuhan-400 mwaka 2008 bado inafikirisha.

Inaonyesha version ya 2008 waliamua waweke China kwa sababu kwa wakati huo Soviet ishaanguka kwa hiyo ilibidi watafute Taifa jingine lenye nguvu ya kuichallenge marekani ili Novel iweze kunoga
Some nigga with some brains
 
Amna sijaulizia hyo....chapta 39 si inaongelea kina tina na danny wanatoroka wako lab wanasimuliwa na dombey?
Mi nlkuwa naulzia hiyo picha ya kwanza kabsa aloweka mtoa uzi,,,kuhusu in 2020 pneumonia like disease will....
Hio ya pneumonia in 2020 wamechomekea ni fake
 
Acha ujinga biological weapon siyo lazima iwe man made kama unavyoitafsri,

Hivi adui akichukua kunguni au chawa kama akapandikiza chumbani kwako baada ya muda wakazaliana wakaleta madhara uta sema ni hiyo ni man made weapon??
Sijakuelewa, unaweza kuonyesha ni wapi nimetafsiri kwamba biological weapon ni lazima iwe man made?

biological weapon inaweza kuelezewa kama a harmful biological agent (such as a pathogenic microorganism) used as a weapon to cause death or disease usually on a large scale.
 
Back
Top Bottom