Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,347
- 6,652
307mkuu hii ni page/chapta ya ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
307mkuu hii ni page/chapta ya ngapi?
Hamna kitabu kilichoandika hayo mkuu...propaganda za westerners hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimekuelewa, ni ukweli ulio wazi ikiwa mara ya kwanza waliizungumzia moja kwa moja Russia, iweje edition iliyofuata iangukie Wuhan china 2008, na 2020 outbreak itokee..?? Ht km hatukubali huo utabiri kwa mantiki ya kusema ni rahis kupredict the future, lkn kupredict kwa kias hiki na jmbo likatokea ni swala la kuumiza kichwaHata kuuita Wuhan-400 mwaka 2008 bado inafikirisha.
Inaonyesha version ya 2008 waliamua waweke China kwa sababu kwa wakati huo Soviet ishaanguka kwa hiyo ilibidi watafute Taifa jingine lenye nguvu ya kuichallenge marekani ili Novel iweze kunoga
Acha ujinga biological weapon siyo lazima iwe man made kama unavyoitafsri,
Hivi adui akichukua kunguni au chawa kama akapandikiza chumbani kwako baada ya muda wakazaliana wakaleta madhara uta sema ni hiyo ni man made weapon??
Wanaoiongoza hi dunia wataamua lini uwe mwisho wake!! nina maana kwamba Bidadamu anaweza kuamua tarehe ngapi ndio uwe mwisho wa dunia...hili nafikiri wote mtakubaliana na mimi.
Ndo uzuri wa Evidence Vipi kuhusu HIV September 11Ingia google!! imekuwa ni gumzo dunia nzima! View attachment 1362319View attachment 1362320
VZR sana. Ila huku kwenye mara mbili tunayaona sana ila hatuaminikiDunia ina siri nyingi sana zinazojulikana na watu wachache...
Kwa upande wangu nilijaribu kuulizia kuhusu hii page inayotaja mwaka 2020 nikaambiwa inapatikana kwenye kitabu cha "End of Days: Predictions and Prophecies about the End of the World by Lindsay Harrison and Sylvia Browne".Amna sijaulizia hyo....chapta 39 si inaongelea kina tina na danny wanatoroka wako lab wanasimuliwa na dombey?
Mi nlkuwa naulzia hiyo picha ya kwanza kabsa aloweka mtoa uzi,,,kuhusu in 2020 pneumonia like disease will....
Mungu mwenyewe katika bibilia alishasema yeye ni Mungu wa Utaratibu, sasa sijui hapo maana yake kwa mapana yake ni kujumuisha na hilo kwamba, kila kitu kilipangwa tayari??MKUU KILA JAMBO KATIKA DUNIA HII LIKO PLANNED TOKA KWA WANAOIENDESHA DUNIA