Kamkuki
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 1,732
- 1,093
Chief, funguka basi.....Yalikuwa predicted kwenye maisha ya sir Abraham linkolin aliyeishi Duniani Kama mfano tuu wa ajae sir Kennedy my lovely ever!
Ngoja wajuvi waje hapa ila ukipeleleza tarehe za wao kuzaliwa, kuoa, kuzaa watoto, kuulika... Majina yaliyo waua na mengi vilikuwa similar
Maana inaonyesha una madini.
Sent using Jamii Forums mobile app