Corona Virus imetengenezwa? Virusi hivyo vilibashiriwa katika Kitabu mwaka 1981

Corona Virus imetengenezwa? Virusi hivyo vilibashiriwa katika Kitabu mwaka 1981

Duh!

Kama ni kweli itazunguka kote huko ila katika nchi za Africa itaweka KAMBI YA KUDUMU.

Yajayo yanahuzunisha Africa bara langu.
 
Malaria imeshadhibitiwa haiuwi sana Kama zamani, una mda gani umesikia watu wanaumwa malaria.
Maradhi yote yametengenezwa kama biashara Na lengo LA kupunguza idadi ya watu duniani.
Hii corona haitozidi miezi 4 itakuwa si tishio tena kama ilivo HIV sasa
Malaria imedhibitiwa haiuwi kama zamani?

Are you serious bro?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bukyanagandi,
Brother swali lako ni sawa na kujiuliza watanzania wanafanya nn wuhan,dunia ni tandawazi na kila mtu ana uhuru Kwa kwenda popote ili mradi ana jambo la msingi,kwani ni marekani tu aliyechukua raia wake?

mbona huiongelei Russia,Canada,Uk,France,Israel etc ambazo zote zilichukua raia wake?wachina Kwa nn walimfunga daktari wake aliyeigundua corona awali?wakamonisti siku zote ni watu wa propaganda mingi na wengi tunajua hata ccm huenda huko kujifunza.
 
Kwa muda mlefu nilikuwa nawaza huenda corona imekuja ghafla tu kumbe wenzetu waliijua kitambo kupita sisi

Ukisoma maelezo ya sabuni ya dental yametaja corona na inaaminika ukinawa na sabuni hiyo vidudu vinakufa sasa najiuliza kwa Nini mikononi kwa kutumia dental vinakufa alafu ikosekane dawa?
FB_IMG_15845565828303117.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa muda mlefu nilikuwa nawaza huenda corona imekuja ghafla tu kumbe wenzetu waliijua kitambo kupita sisi

Ukisoma maelezo ya sabuni ya dental yametaja corona na inaaminika ukinawa na sabuni hiyo vidudu vinakufa sasa najiuliza kwa Nini mikononi kwa kutumia dental vinakufa alafu ikosekane dawa?View attachment 1392284

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh wameunganisha nyuzi

[emoji2398]black city
 
Kwa nini covid 2019, namba ya mwaka ya nini na kwa nini, mbona hatujaona kwenye maradhi mengine. Ninachoelewa ni 2019 ni wakati maalum kwa kumbukumbu zilizo kua plan au zenye future ya huo wakati.
 
lutemi, Hoja yako inasadifu. Unajua mi nilkuwa nikishangaa kwenye vitabu vya biolojia walipokuwa wakiandika ; economic importance of plasmodium - it causes disease

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Mara kadhaa nimesikia viongozi wa China na Iran wakiilaumu Marekani chini chini kuwa huenda ikawa imetengeneza makusudi virusi hawa na kuwatumia kama Biological weapon kudidimiza mataifa mengine, hasa yale yenye uhasama naye.

Je, ni kweli, na kama ndio, mbona na wao ni wahanga na tayari kuna vifo vimeshawakumba? Je, yawezekana wao wakawa wameruhusu kuathirika ili ionekane hawahusiki na chanjo yake tayari ipo maabara?

Vipi kama ikawa ni kweli wametengeneza na ghafla Wachina na Warusi wakajibu mapigo siitakua zama za vita hatari kabsa kutokea duniani? Inatia hofu sana.

I pray it be my imagination and not something real.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Kwa muda mlefu nilikuwa nawaza huenda corona imekuja ghafla tu kumbe wenzetu waliijua kitambo kupita sisi

Ukisoma maelezo ya sabuni ya dental yametaja corona na inaaminika ukinawa na sabuni hiyo vidudu vinakufa sasa najiuliza kwa Nini mikononi kwa kutumia dental vinakufa alafu ikosekane dawa?View attachment 1392284

Sent using Jamii Forums mobile app
Corona ni virus, Virus wanatabia Mbili Non Living and Living thing (Wakina ndani ya Host)
 
Back
Top Bottom