Corona Virus imetengenezwa? Virusi hivyo vilibashiriwa katika Kitabu mwaka 1981

Corona Virus imetengenezwa? Virusi hivyo vilibashiriwa katika Kitabu mwaka 1981

Corona asili yake ni Italy sio china .corona ni mji Italy ilipoanzia mafua hii .china mwezi walionekana wamarekani wuhan wanaodaiwa kuipandikiza na haijajulikana walikuja fanta nn
 
lutemi,
Eti perfect biological weapon,ha ha haaa...

Tuchukulie corona ipo,inakuaje perfect biological weapon wakati inaua at a rate of 3%?yaani inakaribiana kabisa na mafua ya kawaida according to CDC....

yaani kati ya watu 100 wanao contact corona ni 3 tu ndio hufa,halafu tunaambiwa haina kinga wala tiba,sasa hao 97 waliobaki wanaponaje wakati haina dawa wala kinga?

Halafu bado mnakua convinced na hayo mavitabu ya hovyohovyo ambayo yameaandikwa na haohao washenzi...

Wafuatiliaji wa kina tu wa masuala ya dunia hii ndio watakaoweza kujua ukweli halisi wa suala hili,wengine watafuata upepo tu.
 
Du hii dunia kunawatu wanaiendesha wanavyotaka. Inakuwaje watu wanakua na sahihi kutabili matukio yajayo hadi muda du!
 
Aiseee ila mwandishi kakosea maana haka kaugonjwa kanakaa kila mahali

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa mara ya kwanza leo Uchina imevunjwa ukimya, imesema Amerika iseme ukweli wataje mwaka na tarehe iliyo kumba zero victim, itaje mahospitali na detention/kambi walipo wahifadhi wagonjwa na carriers wa ugonjwa wa corona -

Wachina kwa mara ya kwanza wamesema jeshi la Marekani ndio walipandikiza/sambaza ugonjwa huo huko Huwan ili baadae waje kusingizia maabara za utafiti wa magonjwa huko Huwan ambazo zinatambuliwa na World Healthy Organization -

mimi sishangazwi na madai ya Wachina, just imagine for a second, hivi ilikuwaje Amerika itume ndege mbili kubwa za kubebea abiria wenye uraia wa Marekani ili Huwan, swali ni hao raia wa Marekani wapatao karibu mia tano walikuwa na shughuli gani huko Huwan?
 
AggerFirminho, Sasa jasusi wetu mahiri kama umeweza kupenya ndani ya hizo Lab na kugundua kuwa corona 2 inatengenezwa kwa ajiri ya kuuwa black kwanini usihiaribu hukohuko

Fanya hivyo nitakuchangia milioni kumi
 
20200311_212017.jpg
 
CORONAVIRUS - FAKE !

This morning at 4:30 a.m., Canadian Prime Minister Justin Trudeau was served a criminal indictment by the U.S. for corporate and financial crimes. Media owners were instructed to brainwash everyone that Trudeau and his wife have the Corona virus, and that they won't be leaving their house for a while

Tom Hanks was arrested 48 hours ago for pedophilia and he is currently being kept in a hotel room in Australia, refusing to fly back to the USA. The next celebrity arrests will be Celine Dion, Madonna, Charley Barkley, and Kevin Spacey. All will claim Corona virus infections

Italy's airports have been completely shut down, as over 80 Vatican and financial officials have been served the same criminal indictments for financial crime, pedophilia, child trafficking, and sex abuse

United Emirates have completed mass arrests of their own Royal Family and affiliates

Convicted Hollywood rapist Harvey Weinstein agreed to a deal in exchange for his testimony against hundreds of top Hollywood celebrities and their involvement in the drug business, pedophilia, and child trafficking. Instead of a 55-year sentence, he only received a 23-year sentence. In exchange he provided testimonies against some of the biggest and most powerful names, including Prince Andrew of the U.K., former president Bill Clinton, former vice president Joe Biden, Tom Hanks, Oprah, Ellen DeGeneres, Quentin Tarantino, Charlie Sheen, Bob Saget, Kevin Spacey, John Travolta, Steven Spielberg, Podesta, NXIVM and PIZZAGATE sex trafficking clubs, and hundreds more who all were directly involved with Jeffrey Epstein

Jeffrey Epstein was similarly allowed to make a deal and have his suicide in prison faked in exchange for his testimony

CEOs of some major world corporations have been indicted/arrested, and some have been forced to resign — all in the last 30-60 days — such as the CEOs of the NBA, Harley Davidson, the Bill Gates Foundation, Intel, McDonald's, Cesar Awards, and Disney; the Vatican Chief of Police; etc. Approximately 700-800 more resignations are coming in the next 3 months

The lab-created Corona virus was a cover-up for the mass mandatory vaccination agenda. Now it has become the biggest covert U.S. Intelligence operation that the world has ever seen. This mass 158,000-arrests operation will remove and capture the biggest evil and corrupted politicians, celebrities, and CEOs, including global elites and bankers such as George Soros, U.N. officials, and the founders of GRETA, inc.

President Trump will win the 2020 elections, and arrests of former U.S. presidents will occur in early 2021. All major arrests will be portrayed by the media as accidental or as conspiracy theories. All arrested individuals will be given "Rommel Death", meaning that they will have a choice between their death bring portrayed to the public as a suicide or an accidental death in return for assurances that his or her reputation will remain intact, or, alternatively, they can choose to face a criminal trial that would result in public disgrace

Some top religious leaders will be arrested or forced to resign, and some will suddenly get "sick." The Vatican will be the first, and the Pope will be removed in 2020. Production of human extracted Adrenochrome will be revealed, and Hollywood and the Vatican will be exposed as being directly responsible for that

Coming up there will be a 2-month complete shutdown of the world's most common operations, such as schools, the stock exchange, some banks, airports, shipping, travel, events, galas, expos, sport games, sport championships, music award ceremonies, NBA/NHL/Baseball games, and ship cruises. There will be food shortages and staged electricity power loss. Gas prices will go down, food costs will go up, insurance will go up, gold and silver stocks will fall, and many corporations will either go bankrupt or take a significant financial loss, such as in the case of what's about to happen to Air Canada, Disney, and Coca-Cola

Welcome to #TheGreatAwakening. What's about to happen this summer and fall will change the world's history!!! #WWG1WGA!!!
 
Sawa ndio mgeni CORONA keshaingia Tanzania.Lakini nafikiri hatutakiwi kupanic.Maana HAMAKI ni mbaya kuliko ugonjwa wenyewe.Tuendelee kujikinga huku tukiomba hili nalo lipite.Mbona hata EBOLA ilitingisha lakini nayo ilipita.
Mungu ibariki Dunia
Mungu ibariki Africa
Mungu ibariki Tanzania.
 
Hamna kitabu kilichoandika hayo mkuu...propaganda za westerners hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu maana kuna page zinasambaa zinasema kitabu cha Slavia Browne kinaitwa End of Days ila cha kushangaza page no ile ile na maandashi ni Yale yale bila kuyofautisha hata speling moja
 
lutemi,
Malaria imeshadhibitiwa haiuwi sana Kama zamani, una mda gani umesikia watu wanaumwa malaria.

Maradhi yote yametengenezwa kama biashara Na lengo LA kupunguza idadi ya watu duniani.
Hii corona haitozidi miezi 4 itakuwa si tishio tena kama ilivo HIV sasa
 
Back
Top Bottom