Corona Virus imetengenezwa? Virusi hivyo vilibashiriwa katika Kitabu mwaka 1981

Corona Virus imetengenezwa? Virusi hivyo vilibashiriwa katika Kitabu mwaka 1981

Wanaoiongoza hi dunia wataamua lini uwe mwisho wake!! nina maana kwamba Bidadamu anaweza kuamua tarehe ngapi ndio uwe mwisho wa dunia...hili nafikiri wote mtakubaliana na mimi.
Hii sio kweli, kwa wale tunaoamini ktk maandiko. Hii dunia ina mwenyewe aliyeweka hao watu ambao wewe unafikiri ni chochote kuweza kuiangamiza hii dunia.

Hakuna mwanadamu mwenye ubavu wa kuiangamiza hii dunia isipokuwa Mungu Jehovah pekee. Hizo story pelekeni huko kwenye vijiwe vya supu.
 
Ila kitabu hicho kimepanda bei sana tangu kijulikane; pale ABEBooks kilikuwa kinauzwa dola 3 tu, lakini sasa bei yake ni kuanzia kuanzia dola 120; watu wanajua fursa. Nilitaka kukinunua wakanikatisha tamaa.
 
This is just a novel, ni imagination ya writer tu. Kuna novels za kila aina, covering all matter of subjects. Chochote kitakachotokea iwe natural au manmade ukitafuta hard enough utakuta kuna novel inahusiana na hicho kitu.

Hawa writers wapo imaginative sana, haimaanishi wanaweza ku predict the future
 
Dunia imejaa Siri za kila Aina majuzi watu wamegundua kitabu kilichoandikwa na Dean Koontz kinachoitwa "The eyes if darkness" miaka 40 iliyopita kikizungumzia juu ya virus waliotengenezwa Wuhan Kama biological weapon na Hadi mwaka ukawekwa 2020 na kweli imekuja kutokea mwaka huu 2020.

Kwa hili je time traveling inaweza kuwa inawezekana na ndio maana mwandishi akaiona hii future na kuipredict? Au ndio illuminat wanaachia conspiracy zao?

Hii Dunia wenda Ina mengi sana tusiyoajua.

b9fsksmv38h41.jpeg
images%20(11).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duniaaa inakuaga na mambozi nyingi sana. Kuna yule jamaa alitabili pia kuhusu teknolojia ya simu. Ndio uzuri wa kusomaaà

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Huyu kirusi hata mm nilihisi tu katengenezwa ila bado sijapata dhumuni hasa la huyu kirusi
 
Back
Top Bottom