Hii sio kweli, kwa wale tunaoamini ktk maandiko. Hii dunia ina mwenyewe aliyeweka hao watu ambao wewe unafikiri ni chochote kuweza kuiangamiza hii dunia.Wanaoiongoza hi dunia wataamua lini uwe mwisho wake!! nina maana kwamba Bidadamu anaweza kuamua tarehe ngapi ndio uwe mwisho wa dunia...hili nafikiri wote mtakubaliana na mimi.
Hakuna mwanadamu mwenye ubavu wa kuiangamiza hii dunia isipokuwa Mungu Jehovah pekee. Hizo story pelekeni huko kwenye vijiwe vya supu.