CORONA VIRUS: Kenyatta ndio Rais pekee aliyejipanga kuwanusuru wananchi wake kiuchumi

Kenyatta yupo smart sana..
Ana akili na pia ana busara..
Ni tofauti sana na jiwe linalojianika juu ya jiwe.
 
Kwa kujipanga huko anaweza kuizuia corona isienee nchi mwake? Kwa akili yako unadhani amejipanga zaidi ya China, Italy, USA na Spain ambao wanaongoza kwa madhara ya corona?

Punguza mahaba na muombe Mungu atuepushe na janga hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye kukata mishahara huku ukipunguza PAYE ndo kuna chenga.

Kupunguza riba na taxes anafaidisha wafanyabiashara akiwemo yeye.
Vipi waliokuwa kwenye mashamba ya maua, chai n.k na sasa wako nyumbani wanafaidikaje?
 
Haiwezekani kumnusuru kila mmoja wetu, hizi ni juhudi tu za kupooza makali yatakayotushukia, ila sote kila mtu kwa nafasi yake lazima tujaribu namna ya kusaidiana, kuna wenye nyumba wamefuta kodi za miezi hata miwili.
 
Wa kwetu magufuli ameelekeza nguvu zake kupambana na CHADEMA.
 
Hapo kwenye kukata mishahara huku ukipunguza PAYE ndo kuna chenga.

Kupunguza riba na taxes anafaidisha wafanyabiashara akiwemo yeye.
Vipi waliokuwa kwenye mashamba ya maua, chai n.k na sasa wako nyumbani wanafaidikaje?
Nani hununua bidhaa kwa wenye shamba na wamama wa soko? Watu wanaopata mshahara. Wakibaki na kazi na wapate nafuu kutoka serikali wataenda kutumia pesa hizo kununua vitu kwa wale wanabiashara. This is called trickle down effect.
Nani kasema Uhuru amemaliza matangazo na hakuna vitu vingine atafanya kusaidia masikini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…