Corona virus: Tunajifunza nini toka kwa wengine?

Corona virus: Tunajifunza nini toka kwa wengine?

Prof. Kabudi alitamka Tanzania haiwezi zuia wasafiri toka china kuja moja kwa nchini, wala hakuna haja ya kuwaweka hata quarantine kwa kuwa wachina walikuwa trafiki zetu.

Waziri Kabudi unakumbuka hayo na mengi uliyotamka kwa kibri wakati tulipokuwa na nafasi ya kuudhibiti ugonjwa huu nje ya nchi?
 
Hapo pana balozi wa China na kule Majaliwa Qassim. Huku kuna mask kule ni kaupepo tu. Tunayo safari ndefu:

IMG_20200410_200948_895.jpg

Ajuaye mola kuwa siku moja kweli tutajajifunza:

IMG_20200407_175254_717.jpg
x
 
Sisi hapa kwetu tumeshaanzisha utaratibu wetu,
MTU akibainika na dalili tu ,tunaenda kumpima, vipimo vikionyesha hana virus basi tunamuacha tu anendelee na maisha yake tu,

Mambo ya kuchunguza siku 14 tumeshawaachia wazungu huko.

Serekali haipo serious na haya mambo

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu vipi bandiko lako hili lilikuwa na maana yoyote?

Labda ungejipanga kulifuta tu mkuu?
 
Prof. Kabudi alitamka Tanzania haiwezi zuia wasafiri toka china kuja moja kwa nchini, wala hakuna haja ya kuwaweka hata quarantine kwa kuwa wachina walikuwa trafiki zetu.

Waziri Kabudi unakumbuka hayo na mengi uliyotamka kwa kibri wakati tulipokuwa na nafasi ya kuudhibiti ugonjwa huu nje ya nchi?

"Waziri Kabudi bado yuko ofisini hajawahipita wala kuwajibishwa." Thinking aloud.
 
Back
Top Bottom