Sisi hapa kwetu tumeshaanzisha utaratibu wetu,
MTU akibainika na dalili tu ,tunaenda kumpima, vipimo vikionyesha hana virus basi tunamuacha tu anendelee na maisha yake tu,
Mambo ya kuchunguza siku 14 tumeshawaachia wazungu huko.
Serekali haipo serious na haya mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Prof. Kabudi alitamka Tanzania haiwezi zuia wasafiri toka china kuja moja kwa nchini, wala hakuna haja ya kuwaweka hata quarantine kwa kuwa wachina walikuwa trafiki zetu.
Waziri Kabudi unakumbuka hayo na mengi uliyotamka kwa kibri wakati tulipokuwa na nafasi ya kuudhibiti ugonjwa huu nje ya nchi?
corona haiui mtu mweusi, haiui mwafrika