Corona: Wakenya waanzisha fujo mpakani na Uganda

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Tukisema kwamba Kenya ni wajinga na sio wastaarabu huwa mnasema tuna chuki na Kenya. Kenya ilizuia madereva wa Tanzania kuingia Kenya kwa kisingizio cha kuwa na virusi vya Corona, hakuna mtanzania aliyefanya fujo badala yake tulizuia madereva wa Kenya, kitendo kilicholazimisha serikali ya Kenya kuomba mazungumzo ili kumaliza huo mzozo kwa amani.

Uganda imechukua hatua ile ile dhidi ya Kenya, badala ya Kenya kutumia uzoefu walioupata wa kutatua mzozo na Tanzania, wao wameamua kufanya fujo.

Nadhani sasa wakenya wanaelewa kwanini huwa wanakorofishana na majirani wote, viongozi wao wanauwezo mdogo sana.

Walisema kwamba viongozi wa Kenya, Uganda, Rwanda na South Sudani walizungumza kwa simu ili kuhakikisha wanakua na mkakati mmoja wa kukabiliana na Corona, huo mkutano ulisaidia nini kama jambo dogo kama hili hawakulitatua?
 
Magufuli ni mwalimu haswa. Tunajifanya kumkejeli lakini anatuhumbua sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

MY TAKE
Baada ya protest now sense prevail that they r still stuck at the border!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…