Corona: Wakenya waanzisha fujo mpakani na Uganda

Corona: Wakenya waanzisha fujo mpakani na Uganda

Unamuita dictator kwani kangangania madaraka?

Si alichaguliwa kwa njia ya democracy tena kwa kupigiwa kura?

Anawanyoosha kweli kweli yaani safari hii mtaita maji mma.
 
Haahhaha cjawahi sikia Kenya wamebuni kitu fulani kikaingia hasa sokoni wao kubuni kwao Kama kipindi hiki Cha korona wamebuni kuchukua dawa zilizotengenezwa marekani na ulaya kuzifanyia majaribio hahahahahah Yani Kenya Kama kichwa Cha mwendawazimu ,Tulisema humu Kenya imekubali raia wake kufanywa panya wa majaribio ya dawa zinazotengenezwa ulaya wakapinga baadae wamebadili sentensi ila maana Ile Ile . Eti. Kenya imeamua kufanyia majaribio dawa mbili moja Ile marekani iliokua ikitumika kutibu ebola hahahaaha
Kwenye suala la ubunifu ndio hawagusi kabisa hilo lipo wazi, wanachotuzidi cc ni uhuni na kutokuwa waaminifu hapo sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana jiran sio kumwaga majungu tunawakumbusha tu ubinafsi sio nzur mukianza kubaguana waTZ waende Kwenye group lao tukiondoka mwisho mutaanza Wanairobi wawe kivyao kwahiyo ubinafsi au kwajina lingine umimi sio mzur
Sawa basi Wana Ccm ni wabinifu sana.Umefurahi ndungu[emoji23][emoji23].Ubunifu kwa kumwaga majungu mtandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushakula sembe la TANZANIA unabwabwaja nasikia vitunguu vishashuka bei na nyanya Mh Shigela angekuuweni , Kenya bila TANZANIA [emoji1241] hauwez kuishi japo hata kwa wiki mbili tu masoko yote yatafungwa na watu wengi watapoteza mitaji yao yani watafirisika halafu unazungumzia kumake money unaweza we kumake money bila ya [emoji1241]kukuwezesha
Endelea kupoteza mda wako basi kujadili Kenya si tukiendelea kusaka chapa[emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kijijini chenu umehakikisha watu Wana mlo ama wanakula kinyesi.Niko sure ata wewe mwenyewe ni jobless goon ambaye hana kazi ni kushinda mtandao tu na kugonja buku Saba.Shika Jembe braza rudi Kijiji kalime wacha siasa ya peni mbili
hapo ulipo unachat nafsi inakusuta dogo da!!unga uliokula Tz, nyanya ,vitunguu ,pengine mpaka samaki uliomla kutoka mwanza najua huwez kula matunda ila nayo ukigusa kutoka Tanga mpaka tulivyofunga cku 2 muliona kama mwezi mumeshindwa kuonesha ukomavu hata wiki tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom