Corona: Wakenya wachanganyikiwa kutokana na idadi kubwa ya maambukizi nchini kwao, wahamishia hasira zao kwa kuichafua na kudanganya kuhusu Tanzania

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
MY TAKE; Wakenya wanaumia sana na mafanikio ya Tanzania, wivu na roho mbaya zinawafanya washindwe kushughulika na mambo yao badala yake kujaribu kuichafua Tanzania.

Kenya imeongeza propaganda zao hasa waliposikia kwamba Tanzania imeanza kupokea makundi ya watalii, lengo ni kujenga hofu ili wageni waogope kuja Tanzania, kamwe hawatoweza.

=======


Magufuli Pays The Price as Mass Burials Site In Tanzania Emerge


On Thursday last week,the ministry of heath of Zanzibar in Tanzania recorded more 5 corona virus deaths.This was the last update from the Tanzanian government.

Earlier this week Tanzanian PS of health Ndugulile was fired for attempts of publishing updates on covid-19.
As much as Tanzania claims to be democratic ,their president Magufuli portrays quite a different picture.There is image and video evidence of mass burials in Tanzania despite them only recording 21 deaths.


He is very intimidative and is blocking videos that openly expose what is unfolding in the country but the truth is everyday ambulances pick up dead bodies.

Despite the president's casual approach to the disease,the ministry of health has told citizens to take precaution.
Their official figures stand at 480 infections and 21 deaths but real numbers are estimated to be over 500 deaths.There is no shame in Magufuli accepting that he might have initially been wrong and help save lifes.

Source: Magufuli Pays The Price as Mass Burials Site In Tanzania Emerge
 
Hahahaha duh....eti mass burials?!?! Yaani hata chembe ya aibu hawana...Hawa jamaa wa Kenya ni hatari...sijawahi kuiona jamii yenye hila na roho mbaya Kama wakenya.

...ni watu wa ajabu..

Maziko gani hayo wanazungumzia?!
 
Hahahaha duh....eti mass burials?!?! Yaani hata chembe ya aibu hawana...Hawa jamaa wa Kenya ni hatari...sijawahi kuiona jamii yenye hila na roho mbaya Kama wakenya.
...ni watu wa ajabu..
Maziko gani hayo wanazungumzia?!
Hapo ni makaburi ya Kinondoni siku alipozikwa mdogo wake Edward Lowasa.
Huwa ninawashangaa sana baadhi ya watanzania wanaowatetea wakenya, hawa jamaa ni zaidi ya wanyama, kama hawakuwezana na Nyerere mtu aliyeweza kujitoa na kuelewana na waafrika wote, nani atawezana na wakenya?
 
Yaani kwa hakika wakenya ni jamii ya ajabu Sana...
 
Actually Miccm iko busy na Kenya.Who cares about your damn stupid country and we don't give a **** go post that in your stupid ccm forum and stop involving Kenya in ua mediocre posts
Naona wamekupa kitengo cha kujaribu kuharibu nyuzi badala ya kujadili,

Eti who care!


Eti you don't care na mko busy kueneza uwongo kuhusu Tz!

Tanzania inawapa sleepless mnoo,


Mkoloni aliondoka na akili zenu guinea [emoji200]
 
Hahahaha duh....eti mass burials?!?! Yaani hata chembe ya aibu hawana...Hawa jamaa wa Kenya ni hatari...sijawahi kuiona jamii yenye hila na roho mbaya Kama wakenya.
...ni watu wa ajabu..
Maziko gani hayo wanazungumzia?!
Wajinga tu hao, na sasa tunapambana nao kisawasawa
 
Kufa watu walikuwa wanakufa kwa wingi kabla ya corona. Izo media saiv kila kifo wanasema corona. Wapambane na hali yao
 
Manyang'au hayo hata menyewe kwa menyewe hayaelewani!

Majitu mufilis hayo yaliyolaanika!
 
Haya mambo yataenda mwishi tutakubaliana tukutane pale Namanga tudundaneee tukimaliza hapo kila mtu hasira zitapungua.

So nafika hapo nauliza 'We ndiye mk254?' 'hapana mi ni mwaswast' 'Wote ni wale wale haya binua chura huyo nimcharaze mboko'
 
Corona imepanda kichwani tunawasamehe bure sio makosa yao.
 
Wapo kama hawa ndugu zao wanaopakana nao upande ule wa mlimani university.
Hahahaha duh....eti mass burials?!?! Yaani hata chembe ya aibu hawana...Hawa jamaa wa Kenya ni hatari...sijawahi kuiona jamii yenye hila na roho mbaya Kama wakenya.

...ni watu wa ajabu..

Maziko gani hayo wanazungumzia?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…