Corona: Wakenya wachanganyikiwa kutokana na idadi kubwa ya maambukizi nchini kwao, wahamishia hasira zao kwa kuichafua na kudanganya kuhusu Tanzania

Corona: Wakenya wachanganyikiwa kutokana na idadi kubwa ya maambukizi nchini kwao, wahamishia hasira zao kwa kuichafua na kudanganya kuhusu Tanzania

Hivi nyie wakenya bado tu hamuwajui hawa jamaa hadi leo 2020 wanazungumzia ukabila, sijui wanataka kutambika.
 
Jamani hata bongo watu wanakufa ni vile hatuweki ukweli hewani. Mfano mji nilio ndani ya siku 3 tumezika watu 6 waliokufa na ugonjwa huo.
 
Back
Top Bottom