Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,497 Reaction score 4,775 May 31, 2020 #21 Hivi nyie wakenya bado tu hamuwajui hawa jamaa hadi leo 2020 wanazungumzia ukabila, sijui wanataka kutambika.
Hivi nyie wakenya bado tu hamuwajui hawa jamaa hadi leo 2020 wanazungumzia ukabila, sijui wanataka kutambika.
mchaga wa zanzibar Senior Member Joined Dec 24, 2015 Posts 108 Reaction score 57 May 31, 2020 #22 Jamani hata bongo watu wanakufa ni vile hatuweki ukweli hewani. Mfano mji nilio ndani ya siku 3 tumezika watu 6 waliokufa na ugonjwa huo.
Jamani hata bongo watu wanakufa ni vile hatuweki ukweli hewani. Mfano mji nilio ndani ya siku 3 tumezika watu 6 waliokufa na ugonjwa huo.