Corona: Wakenya waendelea kupukutika kwa kasi

Muelewe tu jombaa, sio kupenda kwake.
Tatizo lenu ninyi wakenya ni kudhani kwamba sisi tuna matabaka kama huko kwenu, ninauhakika 80% ya watanzania hapa JF hawana chama chochote cha siasa, wanachangia vile wanavyopenda.

Bora mngeita wapenzi wa Magufuli vs na wasiompenda, kwasababu watu wengi wanaiunga mkono Serikali ya awamu ya 5 kwa kumpenda Magufuli sio CCM, wengi tulikua tunamchukia Kikwete lakini hivi sasa tunamuunga mkono Magufuli. Huko kwenu ndio uchama na ukabila vina nguvu sio huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupe link inayoonyesha serikali ya kenya inafanya mass testing ikienda nyumba kwa nyumba,na ilianza lini na mpaka sasa mmepima watu wangapi....Share link tu mkuu lengo na sie tuige mazuri ya kwenu.

Nyie juzi CDC walitoa ripoti yaani tangu janga liingie mumefaulu kupima 652 pekee na kupata 480, hehehe nyie watu mnaishi dunia yenu.
 
Nyie juzi CDC walitoa ripoti yaani tangu janga liingie mumefaulu kupima 652 pekee na kupata 480, hehehe nyie watu mnaishi dunia yenu.
Sie tunaficha taarifa ndio maana nilitaka kujua nyie ambao wawazi ebu tupe link ya kuonyesha kwamba Kenya wanafanya mass testing nyumba kwa nyumba,just share link tu mkuu.
 
Umerudi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Natumai serikali ya jiwe ikitoa takwimu utaingia mafichoni tena[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
HAahahahha, jamaa amepata nguvu tena baada ya kuugua na presha ya majonzi, tena bado hajajifunza lolote, amerudi na kidomo domo hahahhahahahahaha huyu jamaanadhani ana ka wazimu flani
 
Ni kweli hawa watu wanaficha sana takwimu, nasikia kwa siku kule Mombasa wanazikwa si chini ya watu 70,hawa watu huu ugonjwa utawamaliza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Na huku kwenyu vipi naskia wananchi hawana Corona ni mbuzi na paipai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ikitafta waafrica wenye low IQ watafte Tanzania wakianza na rais wao jiwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Welcome back Boy nilikuwa nashangaa vipi hakuna ujinga siku hizi kumbe ni wewe haupo 😉
Good to see you anyway.
 
Wapii, sisi hatuwezi kuwa Capitalists hata siku moja, ni sawa na kusema China, Cuba, Russia ni capitalist countries. Tanzania ni waanzilishi wa "African Socialism known as Ujamaa".

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe basi huifahamu nchi yako. Tanzania iliacha mambo ya ujamaa Nyerere alipokufa na kuwa capitalist. Huwezi badilisha historia.
 
Corona imekua rafiki wa watz......Ila rais kajificha chato kukimbia corona
 
Jamaa walinipiga "ban" kwasababu nilizidisha "attacks" kwa wakenya, sasa hivi kidogo sitowashambulia sana, ila muwe na adabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ulitusi watu? Mbona mimi huwa natusi na sipewi ban? Sidhani kama ulipewa ban. Nadhani ulitoroka kwa aibu uliojiletea kwa maringo kwamba TZ mpo sawa. Ila sote tunaona kuwa TZ inaumia kwa uzito wa corona
 
Nani alikuambia huyo jamaa alikufa na Korona? Uzushi!
 
Nakwambia ile siku jiwe atatoa data atasepa tena ili kuepuka aibu...
Huoni karudi baada ya kuona data zetu za kila siku zimepiku zile zao..

Tena ana bahati sai magufuli kajitengezea mazingira yakutotoa data tena, lkn bado angelikimbia tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe basi huifahamu nchi yako. Tanzania iliacha mambo ya ujamaa Nyerere alipokufa na kuwa capitalist. Huwezi badilisha historia.
Umeshaona wapi nchi ya kibepari ambapo Serikali ndio inayomiliki ardhi yote, Afya na Elimu ni bure, na Serikali ndio " the biggest employer"?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hamuoni haya kushindana nchi gani yenye Korona zaidi, hamjui watu wanakufa na korona hivyo siyo jambo la kushindana wala kutaniana? Ushetani huu unatoka wapi? Kwanza ni ujinga kabisa ukichukulia Korona ndiyo kwanza imeanza Afrika Mashariki, nyie mnaoshindana nchi gani imeathirika zaidi mna uhakika gani hamuwezi kuambukizwa? Acheni ufala, wote wakenya na watanzania, shindaneni na mengine yenye maendeleo kama mnataka.
 
Kwhyo leo ndio umekubali km watanzania hawamiliki ardhi ila wanakodi kutoka kw serikali sio[emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unauliza swali au unajibu swali?. Ardhi yote ya Tanzania inamilikiwa na watanzania wote kwa pamoja chini wa uangalizi wa Serikali.

Mali ya familia inamilikiwa na familia kwa pamoja chini ya uangalizi wa wazazi ili kuhakikisha kwamba, kila mwana familia anafaidika sawa sawa bila uonevu wala upendeleo.

Unaweza kuuziwa au kupewa sehemu ya Mali hiyo chini ya masharti ili kuhakikisha kwamba hutoifuja na kuiuza kwa mtu wa nje ya familia bila hidhini ya wazazi, huo ndio ujamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…