joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #41
Tatizo lenu ninyi wakenya ni kudhani kwamba sisi tuna matabaka kama huko kwenu, ninauhakika 80% ya watanzania hapa JF hawana chama chochote cha siasa, wanachangia vile wanavyopenda.Muelewe tu jombaa, sio kupenda kwake.![]()
Bora mngeita wapenzi wa Magufuli vs na wasiompenda, kwasababu watu wengi wanaiunga mkono Serikali ya awamu ya 5 kwa kumpenda Magufuli sio CCM, wengi tulikua tunamchukia Kikwete lakini hivi sasa tunamuunga mkono Magufuli. Huko kwenu ndio uchama na ukabila vina nguvu sio huku.
Sent using Jamii Forums mobile app