Corona: Wakenya waendelea kupukutika kwa kasi

Kenya uchaguzi 2022 ila kampeni zishaanzaga Kitambo, figisu za Kina Ruto Vs Uhuru + Rao,
Kazi mnayo, mnachukulia siasa too emotional ndio maana huwa mnachinjana na kuuana mamia kwa mamia kila uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu lini mtu shamba la babake akipewa anapohitaji hati stahiki anapewa mda wa umiliki..

Babako kweli akuafanyie hvo(leasing) kw wale wanaotaka tittle deeds[emoji1787][emoji1787]
Halafu wajukuu wako wataishi wapi jamano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, hujui sheria ya Tanzania kwenye ardhi. Kwa mtanzania kumiliki ardhi hakuna kitu kinaitwa "leading", ardhi inakuwa ni Mali yako na unaruhusiwa kuiuza au kuifanyia lolote, leasing ni kwa wageni pekee.

Tofauti ni kwamba, endapo hiyo ardhi unayoimiliki Serikali ikiwa inahitaji kwa ajili ya maendeleo ya taifa, basi unapaswa kulipwa kwa mujibu wa bei ya soko kwa wakati huo, sio kwa mujibu unavyotaka wewe kwa sababu ni ardhi yako, kama mbavyofanya huko Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kadanganye wengine, tanzania ardhi ya jamii tu ndio pekeake haina leasing lkn na wewe kamwe huwezi kuwa na tittle deed kw sababu serikali inaheaabu hyo ardhi ni ya jamii km ilivyokuwa hku kenya...

Ngoma iko pale unapotaka tittle deed[emoji1787][emoji1787][emoji848]
Serikali wanakukodishia tu na wla huna budi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania sio Kenya, ndio sababu hatuna "land grabbers", kila mtu anapata ardhi kwa kadri ya mahitaji yake. Kuna tume ya Kenya kuhusu ardhi, ilishauri Kenya kuiga sheria za Tanzania kuhusu umilikaji wa ardhi. Sisi tupo vizuri sana katika eneo hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hko hko tanzania kuna watu waliojimilikisha ardhi..yani kuhusu mambo ya ardhi bongo huwezi nifundisha kabisa..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wananchi wanalipwa ili kupisha ujenzi wa reli. Ingekuwa hiyo ardhi hawaimiliki, iweje Serikali iwalipe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wananchi wanalipwa ili kupisha ujenzi wa reli. Ingekuwa hiyo ardhi hawaimiliki, iweje Serikali iwalipe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa!!hii ndio mbinu ulifikiria utakuja kunidanganya nayo...
Unajua maana ya leasing agreement, yani unpovunja mkataba lazima unilipe nikajipange kivingine..

Au labda waniona sina akili,
Lkn ngoma iko pale km kiwanja chako kime expire..yani lazime uende uka renew hati yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania mwananchi na foreigner wote sawa pale wanapotaka hati miliki ya ardhi...
Yani huna budi ku lease kutoka kw serikali, ardhi yote rais ndio ameikalia ofisini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika kishabiki sana aiseeee
 
Sisi lazima tufanye bidii sana ili tusave pesa tununue ardhi. Mimi mwenyewe nipo katika harakati za kutafuta ardhi. Lakini hii lockdown ya Nairobi ndio inaleta changamoto. System yenu ya ardhi kuwa bure ni afadhali.
 
Sisi lazima tufanye bidii sana ili tusave pesa tununue ardhi. Mimi mwenyewe nipo katika harakati za kutafuta ardhi. Lakini hii lockdown ya Nairobi ndio inaleta changamoto. System yenu ya ardhi kuwa bure ni afadhali.
Nani amesema Tanzania ardhi ni bure?. ardhi lazima ununue toka
1)Watu binafsi
2)Serikali za vijiji
3)Serikali kuu

Ila ardhi yote ipo chini ya uangalizi wa Serikali, maslahi ya Taifa zima ndio yanapewa kipaumbele kabla ya maslahi ya mtu binafsi.

Kama kwenye ardhi yako panahitajika kujengwa mradi wa Serikali kwa faida ya walioqengi, utalazimika kukubaliana na Serikali upishe na utalipwa bei yenye kuendana na Soko kwa wakati huo, huwezi kugoma kuondoka, ukilazimisha sana, rais anayomamlaka ya kufuta haki ya umiliki wa hiyo ardhi na kuirudisha serikalini, lakini lazima athibitishe kwamba lengo lake ni kufanikisha maslahi ya waliowengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama ni hivyo basi hakuna tofauti kati ya TZ na KE. Hata huku Kenya, serikali ikitaka shamba inaichukua na kukulipa fidia kama ilivyofanya wakati wa ujenzi wa SGR.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…