game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Kenya uchaguzi 2022 ila majamaa yashaanza kampeni kitambo, Mambo ya BBI na Handshakes ,
Imagine Tz uchaguzi ni Miezi kadhaa ijayo na hakuna hata anaezungumzia,
Hawa watu wana laana
Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine Tz uchaguzi ni Miezi kadhaa ijayo na hakuna hata anaezungumzia,
Hawa watu wana laana
Tanzania uchaguzi haubadilishi lolote, sisi sio wakabila, tatizo Kenya ni ukabila ndio sababu ukifika mwaka wa uchaguzi kila kitu kinasimama
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app