joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Silaha ni silaha usiwadharahu, mbona hata kupambana na locust walitumia kupiga kelele na kugonganisha mabati na walifanikiwa?, tofauti ni kidogo tu, locust huruka mchana lakini virusi huruka usiku. Hahahaha, hahahaha, hahahaha.[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Dah! Hivi tuna hoja ipi ya kupinga tusifanyiwe majaribio ya chanjo corona kama mapambano yenyewe siraha sahani[emoji23]
Mbona tunasikia wanechinja Jaluo wawili, au wamedanganya?. Hakuna aliyewacheka wacha kujishuku, sisi tunawapongeza sana, juhudi zao zinaonekanaUnafik, utawashangaaje hawa wanakijiji kutoka Kenya na Uganda? Ila kwenye suala la rais wako kusema kwamba ugonjwa wa Corona huwezi ukanawiri kwenye mwili wa yesu na misikitini unajitia hamnazo? Afadhali hawa wanakijiji wakenya na waganda ambao hawajamdhuru mtu yeyote yule, ingekuwa ni Tz wangemchinja albino.
Naaam, nilitaka nione kwanza pumba za aina hii ndio nijue kwa uhakika kwamba wewe ni pimbi kweli. Ambaye anaweza akaamini hadithi za kilofa kama hizo ulizolishwa na hao waliobuni hizo taarifa kwenye hiyo site ya umbea.Mbona tunasikia wanechinja Jaluo wawili, au wamedanganya?. Hakuna aliyewacheka wacha kujishuku, sisi tunawapongeza sana, juhudi zao zinaonekana
Kenya 142, 4deaths
TZ. 22, 1death
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni juu yako, kubali au kataa haibadilishi kitu. Endeleeni kufukuza corona kwa kupiga kelele za sahani za bati.Naaam, nilitaka nione kwanza pumba za aina hii ndio nijue kwa uhakika kwamba wewe ni pimbi kweli. Ambaye anaweza akaamini hadithi za kilofa kama hizo ulizolishwa na hao waliobuni hizo taarifa kwenye hiyo site ya umbea. Kisha wakaziita habari, endelea kuzipa traffic hizo 'gutter press' za Kenya. Ili hao wanahabari feki nao waendelee kuongeza KES za ziada kwenye akaunti zao.
Waliambiwa wanywe chai ya rangi juu inatibu corona.
Sasa kama ulozi na uchawi ni part and parcel ya maisha yenu?Maombi na uchawi haiwezi fukuza corona.
Taking precautions ndio ya maana.