joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Coronavirus: Kenyan, Ugandan villagers bang tins at night to scare away virus
Katika vita, kitu muhimu ni ushindi, silaha yoyote unaweza kutumia.
Wakenya baada ya kuona kwamba mambo yanaendelea kuwa magumu, wameamua kufukuza virusi vya Corona kwa kupiga makelele na kugonganisha sahani za bati usiku kucha ili kutishia Virusi visikaribie katika vijiji vyao.
Uamuzi wa kufanya tambiko nyakati za usiku ni kutokana na ukweli kwamba, wanaamini virusi hutembea kuanzia SAA moja usiku hadi 12 asubuhi, kama walivyoelezwa na serikali ya Nairobi.
Sent using Jamii Forums mobile app