Corona: Wakenya walijifungia wakati maambukizi ni chini ya 100, sasa wanafungua maambukizi yakikaribia 10,000, hizi ni akili au matope?

Kwasababu CCM wanaamini ugonjwa umepungua ndio sababu hawavai barakoa, ila nyumbu wanaoamini wagonjwa wamefika laki moja walipaswa kuvaa barakoa lakini hawavai.
nenda Aghakhan!
 
Wewe ni akili hauna. Hajui kwanini tulifunga na kwanini tukafungua. Hebu niambie ni kipi Uhuru kaiga kwa Maghufuli?.. Hakuna kitu hata moja tunaweza iga kutoka huko!.
Kipindi hiki ambacho maambukizi ni makubwa na yanaongezeka kwa kasi mlipaswa kuongeza "restrictions" sio kuanza kulegeza vikwazo, kitendo cha kulegeza vikwazo wakati kasi ya maambukizi ni kubwa ni kumuiga Magufuli ambayo tangu mwanzo alisema kwamba ni lazima kujifunza kuishi na Corona kama tunavyoishi na UKIMWI, ninyi kwa ujinga wenu mkaanza kuweka ,"cessation " of movements Nairobi na Mombasa. Hovyo kabisa ninyi.
 
Wapi kwingine lock down imesaidia?
Lockdown inasaidia sana kupunguza na kuondoa maambukizi ya magonjwa yanayoambukizwa kupitia hewa. Hilo tusibishe.
Ila lockdown ya Kenya was bugus. Unaanza 7pm? Ni bora tu uachie.

That was not a lockdown, that was a jokedown.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Sisi tunajielewa sana. Wenye akili finyu kama nyie ndio hamuwezi ng'amua chochote. Nani kakwambia cessation ni kwa ajili ya kumaliza maambukizi?. Hii ilikuwa mbinu ya kudhibiti kasi ya hayo hayo maambukizi kama bado tunajipanga. Saa hii tumefungua kwa masharti fulani baada ya kugundua tushaa jipanga. Halafu hatujafungua shule, kanisa ni kwa masharti, curfew bado etc. Sasa tumemuiga nini Maghufuli?.. hakunaa kabisaa!
 
Ahsante sana mdanganyika, huku tushajipanga ndio maana tumelegeza lakini kwa masharti fulani!.

Juhudi zimezaa matunda. Kafyuuu imepeleka korona chini kabisa. Endeleeni kujishoka sasa maana kujipanga kumewaingiza choo cha kike. Hongereni sana.
 
Out of 20 threads kwa Kenyan news and politics 14 Ni za Watanzania...who is obsessed with the other?
Ukifungua uzi kuhusu Tz itabidi uvumilie na sisi tukifungua nyuzi kuhusu Kenya

Kunya anye kuku akinya bata kaharisha,

Na sio kwamba eti hamfungui nyuzi kuhusu Tz ni kwamba hakuna habari za kufungulia threads.

 
Juhudi zimezaa matunda kafyuuu imepeleka korona chini kabisa. Endeleeni kujishoka sasa maana kujipanga kumewaingiza choo cha kike. Hongereni sana.
Uko na haki ya maoni yako. Sisi tunamshukuru rais wetu kwa juhudi zake. Endeleeni kujumuika kwa choo cha kiume!🤣🤣
 
Ulitamani sana kenya kuwekwe total lockdown ili useme tumewaiga wazungu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbinu zetu tunazotumia afrika mashariki pekeyetu
 
Kasi ya maambukizi hko kwenu mliijua ule wakati wa mapapai sio.
 
Uko na haki ya maoni yako. Sisi tunamshukuru rais wetu kwa juhudi zake. Endeleeni kujumuika kwa choo cha kiume!🤣🤣

Mimi nawapongeza tu, sijatoa maoni yangu. Juhudi za raisi wenyu zimeonekana kafyuu imepunguza na kuondoa korona kabisa. Sasa ni wakati wa kufungua nchi na uchumi.
 
Mimi nawapongeza tu. sijatoa maoni yangu. Juhudi za raisi wenyu zimeonekana kafyuu imepunguza na kuondoa korona kabisa. Sasa ni wakati wa kufungua nchi na uchumi.

Pongezi ni maoni pia. Ila hukuelewa maana ya uhusiano wa curfew na korona, sisi wenyewe tumejua faida yake zaidi ya uelewa wako, tuko sawa!
 
Pongezi ni maoni pia. Ila hukuelewa maana ya uhusiano wa curfew na korona, sisi wenyewe tumejua faida yake zaidi ya uelewa wako, tuko sawa!..

Sasa mchape kazii, kafyuu imemaliza korona.
 
Aibu imewakuta kutakana na akili zenu finyu, tukuwaambia ninyi hamna akili mnadhani tunawachukia, soma wakenya wenzako wanavyosema, jinga kabisa wewe.

Magufuli Receives Praises After President Uhuru's Address
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…