oneflash
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 814
- 600
Tukianza kuwaiga watanzania tutabaki nyuma kiuchumi. Ndio maana hatuwezi kuwaiga hata kidogo.Muhimu ni nyie kujijua kwamba hamna akili, ili next time msubiri kile Tanzania tutakachofanya ili muige, punguzeni mikurupuko.