Corona: Wakenya walijifungia wakati maambukizi ni chini ya 100, sasa wanafungua maambukizi yakikaribia 10,000, hizi ni akili au matope?

Corona: Wakenya walijifungia wakati maambukizi ni chini ya 100, sasa wanafungua maambukizi yakikaribia 10,000, hizi ni akili au matope?

Muhimu ni nyie kujijua kwamba hamna akili, ili next time msubiri kile Tanzania tutakachofanya ili muige, punguzeni mikurupuko.
Tukianza kuwaiga watanzania tutabaki nyuma kiuchumi. Ndio maana hatuwezi kuwaiga hata kidogo.
 
Hao wazungu unaoongelea wako upande gani wa Kenya na idadi yao ni ngapi?
Wakenya hawana akili kabisaa Yani kama wakijaribu tu kuwatimua wazungu bc Kenya inakua nchi masini kabisa kuliko Sudan
 
Breaking news za Kenya huletwa na Watz na tukisema Kenya ni Baba lao wananuna.
Msije sema sikuwaambieni wakenya, Kenya inakwenda kudondoka very soon licha ya mzungu kuibeka kwa bidii.

Sasa korona inakwenda kuwamalizeni hadi sasa habari ya chini ya kapeti zinasema wagpnjwa waliokufa kwa kovidi Kenya wamefika 473 sasa mnataka kufungua nchi wakati ambao hospital zenu. Zimeshaelemewa?????!!!
 
Kipindi hiki ambacho maambukizi ni makubwa na yanaongezeka kwa kasi mlipaswa kuongeza "restrictions" sio kuanza kulegeza vikwazo, kitendo cha kulegeza vikwazo wakati kasi ya maambukizi ni kubwa ni kumuiga Magufuli ambayo tangu mwanzo alisema kwamba ni lazima kujifunza kuishi na Corona kama tunavyoishi na UKIMWI, ninyi kwa ujinga wenu mkaanza kuweka ,"cessation " of movements Nairobi na Mombasa. Hovyo kabisa ninyi.
Hao wata fungua na kile korona itakifanya Kenya watalazimika kufunga tena kwa kutumia kdf na risasi za moto polisi Kenya jiandaeni kuua wakenya after second true lockdown inayo kuja Kenya ,wakenya [emoji16][emoji16]
 
Msiwaonee wivu.

KENYA wamepata dili la ku test chip/ vaccine ya corona.

Data zimewasaidia pamoja na utii kwa WHO.

Inakuwa nchi ya pili kukubali testing baada ya South Africa joto la jiwe
 
Msije sema sikuwaambieni wakenya, Kenya inakwenda kudondoka very soon licha ya mzungu kuibeka kwa bidii. Sasa korona inakwenda kuwamalizeni hadi sasa habari ya chini ya kapeti zinasema wagpnjwa waliokufa kwa kovidi Kenya wamefika 473 sasa mnataka kufungua nchi wakati ambao hospital zenu.
Zimeshaelemewa????!!
Kwanza msambaze umeme kijijini Dar. Kila siku tunasema umeme wa mgao ndio kawaida Dar kumbe hata Kuna sehemu nyingi hazina umeme. 😂😂😂😊
Usambazaji umeme Bomba Mbili bado ni kizungumkuti
 
Curfew bado ipo, shule hazijafunguliwa, bar na vilabu havijafunguliwa, upimaji bado unaendelea na sio wa mbuzi na mapapai. Sehemu za ibada zitakubaliwa, lakini kwa masharti. Alafu hamna sehemu yeyote ambapo majirani au mabeberu wametajwa.
Puppet hana guts za kumkoromoe Master wake, Kenyans you have proved beyond doubt that freedom of choice is yet to be obliged to you, still searching for independence.
 
Ni wachache Sana ila ndio wenye mitaji mikubwa biashara kubwa kubwa Kenya au kampuni gani kubwa inamilikiwa na mkenya Nairobi
Usijokijua ni kama usiku wa kiza. Nairobi na miji zingine za Kenya ziko na maelfu ya makampuni, taja tuu kumi za hao wazungu?
 
Ni wachache Sana ila ndio wenye mitaji mikubwa biashara kubwa kubwa Kenya au kampuni gani kubwa inamilikiwa na mkenya Nairobi
Usijokijua ni kama usiku wa kiza. Nairobi na miji zingine za Kenya ziko na maelfu ya makampuni, taja tuu kumi za hao wazungu?..
Mimi nataka blandi moja tu kubwa ya mkenya eg: AZAM
Umeanza kurukaruka, makampuni ya wakenya halisi ni mingi tuu nitakutajia. Lakini kabla hapo nijibu swali langu mwanzo. Taja hayo makampuni ya wazungu?. Prove your claims!?
 
Usijokijua ni kama usiku wa kiza. Nairobi na miji zingine za Kenya ziko na maelfu ya makampuni, taja tuu kumi za hao wazungu?

Umeanza kurukaruka, makampuni ya wakenya halisi ni mingi tuu nitakutajia. Lakini kabla hapo nijibu swali langu mwanzo. Taja hayo makampuni ya wazungu? Prove your claims!?
Kama yapo mengi taja moja acha blabla dogo Mimi sitaki mengi nataka moja linalomilikiwa na mkenya lenye bland kubwa
 
Wewe ndio ulileta madai yasiyo na Ukweli. Hauja yadhibitisha unaanza kuuliza maswali. The burden of proof is on your side!
Kama yapo mengi taja moja acha blabla dogo Mimi sitaki mengi nataka moja linalomilikiwa na mkenya lenye bland kubwa
 
Usijokijua ni kama usiku wa kiza. Nairobi na miji zingine za Kenya ziko na maelfu ya makampuni, taja tuu kumi za hao wazungu?..
Wacha maneno, ninyi ndio mnajisifu kwamba International co. Zimejaa hapo Nairobi, Kumbuka kwamba Cocacola pekee ni sawa na makampuni 50 ya wakenya wa kawaida. Mashamba ya chai, mashamba ya mananasi ya Del motte, mashamba ya Maua, karibu asilimia kubwa ni wazungu.
 
Back
Top Bottom