babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Washajifungia ndani saa hii juu ni muda wa curfew!Haya majinga ya kikenya yako wapi yasome hii?
Naona aibu imekushika yule msichana wenu komaro bendera mfata mkumbo yuko wapi.Si nyinyi ndio mlisema viongozi wenu wamepoteza dira? Sasa unalialia Nini?
Mkuu Tafadhali ondoa hii picha.Utapiga kelele all day ukimention Kenya and at the end, Kenya and Tanzania will be like this picture below. Kenya juu, Tanzania chini.
View attachment 1499005
Usiombe kuwa mpumbavu toka tumboni utajuta maisha yote.Washajifungia ndani saa hii juu ni muda wa curfew!
Halafu huo upumbavu umekuta mkoloni aliondokaga na akili zao.Usiombe kuwa mpumbavu toka tumboni utajuta maisha yote
Hahahaha this is a comment of the week.Kwasababu CCM wanaamini ugonjwa umepungua ndio sababu hawavai barakoa, ila nyumbu wanaoamini wagonjwa wamefika laki moja walipaswa kuvaa barakoa lakini hawavai.
Hahahaha MK254 alipatwa asome comment hii na nyingine nyingi hapaKwasababu hamna akili zenu wenyewe, lazima muige wazungu au Magufuli, sasa mumeamua kumuiga Magufuli baada ya kuona kuwaiga wazungu hakusaidii, next time muanze kuiga Magufuli moja kwa moja msianze na wazungu, hahahaha.
Uhuru hajalift kw ajili ya magufuli[emoji23][emoji23][emoji23] Mbna kuna nchi nyingi tu wamelift. Usilazimishe mambo kijana wa unenguaji
Hahaha a weak argumentSi nyinyi ndio mlisema viongozi wenu wamepoteza dira? Sasa unalialia Nini?
Nchi gani namba zilipungua kwa lockdown?Lockdown inasaidia sana kupunguza na kuondoa maambukizi ya magonjwa yanayoambukizwa kupitia hewa. Hilo tusibishe.
Ila lockdown ya Kenya was bugus. Unaanza 7pm? Ni bora tu uachie.
That was not a lockdown, that was a jokedown.
Wenyewe wanakwambia tatizo unatakiwa ulitatue kisayansi sababu ya tatizo lenyewe la kisayansi hahahaha sayansi na Kenya wapi na wapi kushoto kutupu kama ndala za guest.Halafu huo upumbavu umekuta mkoloni aliondokaga na akili zao.
Hiyo sayansi naona imewaonesha kuwa mchana kote kirusi kinalala halafu kinaamka saa tatu usiku.Wenyewe wanakwambia tatizo unatakiwa ulitatue kisayansi sababu ya tatizo lenyewe la kisayansi hahahaha sayansi na Kenya wapi na wapi kushoto kutupu kama ndala za guest
Wakenya hawana akili kabisaa Yani kama wakijaribu tu kuwatimua wazungu bc Kenya inakua nchi masini kabisa kuliko sudanHiyo sayansi naona imewaonesha kuwa mchana kote kirusi kinalala halafu kinaamka saa tatu usiku.
Marekani na zote za Europe, China, South Korea.Nchi gani namba zilipungua kwa lockdown?