Corona: Wasanii wa Bongo wanaongoza kwa ukilaza

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,388
Reaction score
7,223
Naongelea hasa zile basics za corona ikiwemo matumizi ya vifaa kinga kama mask, gloves na sanitizer.

Wakati mashirika makubwa ya Afya duniani na vyombo vingine vya habari wakihamasisha hatua stahiki za kuchukua ikiwemo kunawa mikono na kuepusha kushikana mikono na mikusanyiko isiyo ya lazima. Wenyewe wamekua kipaumbele kuhamasisha uvaaji wa mask na kupiga selfie.

Mask zenyewe wanazovaa zi zile ambazo zinashauriwa kutumika iwapo kweli una lengo sahihi la kujilinda.

Nawashauri wasanii wajikite kwenye kujielimisha ili watumike katika ku-spread taarifa sahihi na si kuzua taharuki na kuspread wrong information.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…