Maelezo gani hapo hayapo? Mpuuzi ni wewe na sio hizo takwima, na uko next level ya ujinga, kumbe hata ulicholeta hukielewi.Takwimu hizo bila maelezo yoyote kuainisha kilichopo hapo ni upuuzi:
1. Namba zipi ni nini?
2. Namba hizo ni za muda gani?
3. Watu wangapi walipimwa?
Hivyo hivyo bila kuwa na za Tanzania kwenye scale hiyo hiyo ni upuuzi mwingine wa kiwango cha PhD.
Hapo ndipo u Lumumba unapokuja.
Maelezo gani hapo hayapo? Mpuuzi ni wewe na sio hizo takwima, na uko next level ya ujinga, kumbe hata ulicholeta hukielewi.
Ingia www.bing.com/covid utaona data ya kila nchi uitakayo. Usiniletee upumbavu wako hapa!
Nakukumbusha kuwa nimesema kuwa, Jiji la New york tayari wameanza kulifungua na shughuli kurudi, wakifanya wao ni sawa ila tukifanya sie Watanzania inakuwa nongwa! Endelea kuwa mtumwa tu.
Na hujaleta hizo data zako za Tanzania tuone ulizokuwa nazo wewe. Unaposema kuwa Tanzania inadanganya data zake, unatakiwa uwe nazo wewe za ukweli kuthibitisha kauli yako.
Nimekuwa busy sana hasa jana na leo nikichapa kazi kweli kweli maana Corona kwetu sasa hivi ni historia.
Hivi unaandika kwa uzi upi mburula wewe?
Umesoma title au hata japo contents za uzi, imbecile wewe?
Kama una contents au hata title tofauti na zilizopo wazi kwenye uzi huu, anzisha uzi mwingine siyo huu. Vyoo huwa vina alama na hata maandishi kutahadharisha. Jiridhishe kuwa umezingatia jinsia yako kabla ya kuingia.
Vinginevyo kama wale wenzio wote wenye nia ya kuhamisha magoli kwa kuleta matusi ya kijinga jinga yasiyo na sababu wala tija kama mnayoonekana kuwa ndiyo asili yenu, basi ile button pendwa ya kuwapuuza ili kushughulika na watu kama nyie itakuwa inakuhusu pasi kuchelewa.
Kongole kwenu mods kwa kutuwekea button ile, tangu lini mbuzi akapigiwa gitaa ili acheze ndombolo ya solo?
Imbecile atakuwa aliekuzaa, mana hujui hata unaandika nini zaidi ya upumbavu. Wewe si ulileta link ya covid19 status baada ya kupinga idadi nlioitaja? Nikakuletea link kutoka Bing ukaimba tarabu eti haina maelezo, nimekuuliza maelezo yapi umekaa kimya! Yaani hujui unachoquote wala unachoreply....
Next time, soma vizuri unachojaribu kureply, usiwe na ny.ege mshindo na kukurupuka!
By the way, sijakutukana, nimekusifia. Na endelea kuchapa kazi ya kunywa viroba.
π π π Childish.... nakushauri, anaza kurudia pale uliponiquote na uone mwendelezo.Uko kwenye choo kike jombi. Title iko wazi:
Corona: Watakaopona walijipanga, Ukiona vyaelea vimeundwa.
Upuuzi unaoandika hauna cha kufanya na mada wala title ya mtoa mada. Yaani upo upo tu umekaa kuandika upumbaav usiokuwa na kichwa wala miguu.
Kwa hakika wewe si imbecile tu bali pia ni imbecile mbumbumbu of all. Kwa maana kuwa kwa upumbaav wewe ni baba lao.
Wala aliyekuzaa sina sababu yoyote ya kumhusisha katika upumbaav wako sugu ulio nao.
Kwa sababu u jamaa puuzi puuzi fulani lisilo staarabika, tayari umo kwenye ile orodha pendwa.
What a wonderful function?
Sasa hivi kama wale wapuuzi wenzio ninayo furaha kukufahamisha kuwa upuuzi wenu mtabaki nao wenyewe.
Bye bye amigo don't even remember that I ever existed.