Corona: Wauza mask na sanitizers wamepungua ghafla

Corona: Wauza mask na sanitizers wamepungua ghafla

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,388
Reaction score
7,223
Anapenda kufahamu. Ni kwamba biashara hailipi Tena au kunani. Maana nikikumbuka week moja iliyopiga kila mtu alikuwa anauza mask na sanitizer sasa sijui na alikuwa ananunua.
 
Mzigo umekata au, but nasikia watu walikuwa wameshaanza kushona kwa mafundi ...nguo ...hawanunui tena , hata hizo santaizer watu wame google formula ya kutengeneza wanatengeneza wenyewe.....chezea bongo ww..maana wengi waliona ndio fursa ya kutajirikia wakawa wanauza mpk jelly wakiwadanganya watu kuwa ni santaizer

sent from HUAWEI
 
Anapenda kufahamu..Ni kwamba biashara hailipi Tena au kunani. Maana nikikumbuka week moja iliyopiga kila mtu alikua anauza mask na sanitizer sasa sijui na alikua ananunua.
Kuna watu wameweka stock ya kutosha acha wazitumie na familia zao , huwezi kutafuta UTAJIRI wa haraka kwa kupitia majanga
 
Kuna watu wameweka stock ya kutosha acha wazitumie na familia zao , huwezi kutafuta UTAJIRI wa haraka kwa kupitia majanga
Akili mbovu Sana..coz ata Kama una stock ya kutosha duniani huwez ishi peke yako..inapaswa wewe na Jirani yako wote mjikinge ndipo utaweza kuwa salama
 
Serikalina wasaniifulani wametuelimisha kuwa Corona wala sio ugonjwa siriazi wa kutuua! Ni vimafua tuu km mafua mengine.[emoji57]
 
Watu wameelimishwa kama huna maambukizi sio lazima kuvaa maski, alafu maski yenyewe uvae masaa manne tu tupa kule vaa nyingine. Pia sio lazima kutumia sanitizer kama utanawa vizuri mikono yako Mara kwa Mara. Imekula kwa walanguzi.
 
Mzigo umekata au, but nasikia watu walikuwa wameshaanza kushona kwa mafundi ...nguo ...hawanunui tena , hata hizo santaizer watu wame google formula ya kutengeneza wanatengeneza wenyewe.....chezea bongo ww..maana wengi waliona ndio fursa ya kutajirikia wakawa wanauza mpk jelly wakiwadanganya watu kuwa ni santaizer

sent from HUAWEI
Tuna kizazi cha ajabu sana hapa Tanzania, hasa yule Mushi wa Dodoma pale Mkuu wa wilaya alipoenda kumuuliza yaani lijamaa linadanganya kabisa waziwazi bila kupepesa badala hata liombe msamaha.
 
Mzigo umekata au, but nasikia watu walikuwa wameshaanza kushona kwa mafundi ...nguo ...hawanunui tena , hata hizo santaizer watu wame google formula ya kutengeneza wanatengeneza wenyewe.....chezea bongo ww..maana wengi waliona ndio fursa ya kutajirikia wakawa wanauza mpk jelly wakiwadanganya watu kuwa ni santaizer

sent from HUAWEI
Wabongo ni noma. Kuna jamaa Mbeya alikamatwa anatengeneza noti ya elfu kumi kama ilivyo tena kaishia la saba, sembuse sanitizer!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom