Corona: Wizara ya Elimu yaukana waraka wa Prof. Elifas Tozo Bisanda Makamu wa Chuo Kikuu Huria (OUT)

Corona: Wizara ya Elimu yaukana waraka wa Prof. Elifas Tozo Bisanda Makamu wa Chuo Kikuu Huria (OUT)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Salaam Wakuu,

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imekana waraka uliotolewa na Prof. Bisanda. Yawataka wanafunzi waendelee kwenda shule.

Prof. Bisanda aliwata wanafunzi wanaoingia chuoni, tunasisitiza kuwa wakae majumbani na kusoma kwa mtandao (Online). Hatutaruhusu wanafunzi na wageni kuingia kwenye kampasi zetu bila sababu maalum, kama kuja kuchukua vyeti au kufanya “clearance”. Na pale inapobidi waingie, watakiwe kuvaa barakoa wakati wote. Waende kule wanakotakiwa kwenda, na si kuzurura kila mahali. Utaratibu ufanyike kuwasaidia wanaotaka kutumia maktaba kama ni lazima, Wengi wanaitumia maktaba yetu kama mahali pa kujisomea tu. Maelekezo haya ni kwa ajili ya makao makuu, vituo vyote vya mikoa na vituo vya uratibu vilivyoko nchini.

Kuhusu waraka wa OUT, soma > Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(OUT) Chatahadharisha wanafunzi na wafanyakazi wake dhidi ya COVID19 NA COVID21

IMG-20210209-WA0065.jpg
 
Kuna mambo mengine ukijafanya mjuaji sana mwisho wa siku ni kuaibika.

Hii corona sio kitu cha kufanyia bettingi. Kuna mageneus wapo Laboratory wanatengeneza new strong variants tena hasa kwa nchi zinazojifanya jeur.

Huu ugonjwa ni man made na kwa kufata akili ndogo za Jpm lazima tutazika wengi.
 
Back
Top Bottom