Corona: Wizara ya Elimu yaukana waraka wa Prof. Elifas Tozo Bisanda Makamu wa Chuo Kikuu Huria (OUT)

Corona: Wizara ya Elimu yaukana waraka wa Prof. Elifas Tozo Bisanda Makamu wa Chuo Kikuu Huria (OUT)

Mkuu Id yako haiendani na unayoyaandika..
Journalist??!! Really? Jifunze kuandika
 
Huko shule watafundishwa na nani?

Tija itakuwepo?!!
Yeye analinda watumishi wa chini yake. Pia ile ni elimu masafa kuendesha face to face ni chaguo lao. Kuimarisha social distance wametumia chaguo hilo.

Hawajafunga mafunzo wala kuzuia huduma. Huduma zipo kama kawaida. Daa! Nchi hii kero zimekuwa nyingi. Tumefanywa wengine kama paka hatuoni hali.
 
Na sisi tunasema kutatua tatizo la arufu mbaya inayotokana na uchafu sharti uuondoe na sio kuupulizia purfume ni issue ya mda tu arufu itarudi tena
 
Back
Top Bottom