Corona: Wizara ya Elimu yaukana waraka wa Prof. Elifas Tozo Bisanda Makamu wa Chuo Kikuu Huria (OUT)

Eti batili. Kwani walitoa wao?

Hii serikali imejaa watu bogus sana. Nani asiyejua kwamba watu wanakufa na korona?

Huyu Prof. nimemuheshimu sana.
Hivi baba akiwatahadharisha familia yake naye kakiuka mwongozo au. Sasa huyo ni kama baba katika eneo lake akiona jambo afanyeje. Kuna viongozi wa dini pia wametoa tahadhari. Anyway, sielewi vizuri hapa naomba kuelimishwa
 
Salaam Wakuu,

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imekana waraka uliotolewa na Prof. Bisanda. Yawataka wanafunzi waendelee kwenda shule.

Prof. Bisanda aliwata wanafunzi wanaoingia chuoni, tunasisitiza kuwa wakae majumbani na kusoma kwa mtandao (Online). Hatutaruhusu wanafunzi na wageni kuingia kwenye kampasi zetu bila sababu maalum, kama kuja kuchukua vyeti au kufanya “clearance”. Na pale inapobidi waingie, watakiwe kuvaa barakoa wakati wote. Waende kule wanakotakiwa kwenda, na si kuzurura kila mahali. Utaratibu ufanyike kuwasaidia wanaotaka kutumia maktaba kama ni lazima, Wengi wanaitumia maktaba yetu kama mahali pa kujisomea tu. Maelekezo haya ni kwa ajili ya makao makuu, vituo vyote vya mikoa na vituo vya uratibu vilivyoko nchini.

Kuhusu waraka wa OUT, soma > Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(OUT) Chatahadharisha wanafunzi na wafanyakazi wake dhidi ya COVID19 NA COVID21

Corona mpka iue mtu kule Kitovu cha Utalii ndo mtaelewa pumbavu
 
Tanga General Arusha nasikia kavuta Mhimbili kwa changamoto ya upumuaji ....hili ni Gharika
 
Mwambieni huyu Prof aingie maabara afanye utafiti ili kupata dawa ya korona. Siyo kubwatubatuka 6 in
Mkuu wewe tebea kwa raha zako na kuzurura kama unavyojisikia.
Ipo oxygen ya ktosha Muhimbili, hapa ni kuugua kwako tu.
 
Salaam Wakuu,

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imekana waraka uliotolewa na Prof. Bisanda. Yawataka wanafunzi waendelee kwenda shule.

Prof. Bisanda aliwata wanafunzi wanaoingia chuoni, tunasisitiza kuwa wakae majumbani na kusoma kwa mtandao (Online). Hatutaruhusu wanafunzi na wageni kuingia kwenye kampasi zetu bila sababu maalum, kama kuja kuchukua vyeti au kufanya “clearance”. Na pale inapobidi waingie, watakiwe kuvaa barakoa wakati wote. Waende kule wanakotakiwa kwenda, na si kuzurura kila mahali. Utaratibu ufanyike kuwasaidia wanaotaka kutumia maktaba kama ni lazima, Wengi wanaitumia maktaba yetu kama mahali pa kujisomea tu. Maelekezo haya ni kwa ajili ya makao makuu, vituo vyote vya mikoa na vituo vya uratibu vilivyoko nchini.

Kuhusu waraka wa OUT, soma > Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(OUT) Chatahadharisha wanafunzi na wafanyakazi wake dhidi ya COVID19 NA COVID21

Sasa Wizara nayo ni majinga, Profesa kwenye tangazo lake mbona aliweka wazi kabisa kwamba alichokiandika ni maoni yake binafsi, sasa Ndalichako kiherehere cha nini?
 
Kwa
Sisi hatupo!!! Mnachanganyana ndani ya bunge na nje yani mbogamboga mwaka huu lazima mtauwana tu
Kwani nyie bavicha mnachukua tahadhali kuhusu corona, au nanyi mnajua kua hakuna corona?
Mbona hamvai barakoa au kukaa distance wakati kila siku mnashadadia kua corona ni nyingi au nanyi mnataka mlazimishwe kuvaa na kuchukua tahadhali?
 
Salaam Wakuu,

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imekana waraka uliotolewa na Prof. Bisanda. Yawataka wanafunzi waendelee kwenda shule.

Prof. Bisanda aliwata wanafunzi wanaoingia chuoni, tunasisitiza kuwa wakae majumbani na kusoma kwa mtandao (Online). Hatutaruhusu wanafunzi na wageni kuingia kwenye kampasi zetu bila sababu maalum, kama kuja kuchukua vyeti au kufanya “clearance”. Na pale inapobidi waingie, watakiwe kuvaa barakoa wakati wote. Waende kule wanakotakiwa kwenda, na si kuzurura kila mahali. Utaratibu ufanyike kuwasaidia wanaotaka kutumia maktaba kama ni lazima, Wengi wanaitumia maktaba yetu kama mahali pa kujisomea tu. Maelekezo haya ni kwa ajili ya makao makuu, vituo vyote vya mikoa na vituo vya uratibu vilivyoko nchini.

Kuhusu waraka wa OUT, soma > Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(OUT) Chatahadharisha wanafunzi na wafanyakazi wake dhidi ya COVID19 NA COVID21

Sasa miongozo ya chuo amabyo haina uhusiano na mitaala inawezaje kukanushwa na wizara.Wizara haipaswi kuwa kilanja wa vyuo bali ni coordinator tu.Sasa tunaongozwa na mihemko sasa na kwenye ofisi za serikali tukozuiwa kuingia bila kuvaa barokoa inakuwaje.
 
Hivi baba akiwatahadharisha familia yake naye kakiuka mwongozo au. Sasa huyo ni kama baba katika eneo lake akiona jambo afanyeje. Kuna viongozi wa dini pia wametoa tahadhari. Anyway, sielewi vizuri hapa naomba kuelimishwa
Ndugu yangu hawa watu ni mashetani.
 
Tena ombwe kubwa saaana. Alafu Kuna mijitu inakaa bungeni eti aongezewe muda.
Aongezewe my foot😤
I was not referring to the president

Wakuu wa idara na wa wizara need to manage communication protocols

Tangazo la prof ni zuri Sana na hakuna Chembur ya negativity... Ila la aliyemjibu linaivunjavunja image ya wizara in terms of protocols kwani tusingeshtuka Kwamba Wana ombwe
 
Unajua fani ya Prof. Bisanda au unabwatuka tu nyuma ya keyboard wewe kiumbe sexless usiye na mbele wala nyuma?
Kwenye fani yake kagundua nn chenye manufaa kwa taifa? Prof hajulikani mpk aandike tangazo la tahadhari ndiyo tunalisikia jina lake!! Hana tofauti na Mwanangu wa chekechea. Rubbish!!
 
Back
Top Bottom