Corona: Wizara ya Elimu yaukana waraka wa Prof. Elifas Tozo Bisanda Makamu wa Chuo Kikuu Huria (OUT)

naunga nkono sio tu kusimsimishwa afukuzwe uamuzi aliochukua ni mzito ulitakiwa uhusishe bodi ya chuo na wamiliki wa chuo ambao ni serikali

kuamua tu kufunga chuo bila wamiliki kushirikishwa sio sahihi kile chuo sio mali yake binafsi kina wenyewe
Kwa hiyo Wizara ndio Bodi ya Chuo?
 
Profesa Bisanda ameitendea haki taaluma yake. Amefanya Jambo jema mno!

Tumuunge mkono badala ya kumbeza kama wengine wanavyojaribu kufanya hapa kwa masilahi yao binafsi badala ya kuangalia masilahi ya umma.
 
Kasoro hii Korona bado inapotea njia; wakiguswa wao, labda akili itapanda vichwani mwao!
 
Tatizo tunaisha mkuu
 
Waraka wa kwanza ni TEC,
Waraka wa pili ni wa wasomi UDSM, OUT na SUA
Waraka wa 3?
 
Corona ipo Akili za kuambiwa changanya na zako mm ukikaa mbele yangu alafu uniambie kolona hakuna nakupasua na panga au jiwe sitaki upumbavu. KOLONA ipoooooooooooo na inaua kwa kasi sana.
 
Si wamesema Mungu yupo upande wetu na amehamishia makao yake makuu hapa ili kuzuia na kupambana na korona?
 
Ombwe limeanzia juu ofisi kuu mkuu. Unadhani wao hawajui hali halisi ilivyo?
 
Proffressor gani uchwara huyo asiyejua chain of command? kuamua kufunga chuo haliko ndani ya mandate yake sio mali yake binafsi hiyo
Asante prof.kuokoa watoto wetu.Eti wameia phenemonia.Wenye akili kazi kwetu.tuelemisheni familia zetu.Mvalishe mtoto wako ba.......a anapokwenda shule.Akirudi,kabla hajaingia ndani anawe mikono.
 
Proffressor gani uchwara huyo asiyejua chain of command? kuamua kufunga chuo haliko ndani ya mandate yake sio mali yake binafsi hiyo
Wewe uko level gani,Nakuona kabisa kule chekechea kadesk kadogoooooo
 
Corona ipo Akili za kuambiwa changanya na zako mm ukikaa mbele yangu alafu uniambie kolona hakuna nakupasua na panga au jiwe sitaki upumbavu. KOLONA ipoooooooooooo na inaua kwa kasi sana.
Sio corona.Inaitwa nimonia au kushindwa kupumua.Usiite Corona kwa sauti kubwa.Iite nimonia ili tupone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…