Corona yasababisha Hoteli ya Southen Sun kusitisha huduma zake

Corona yasababisha Hoteli ya Southen Sun kusitisha huduma zake

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,611
Screenshot_20200326-190447.png



======

SAMAKI SAMAKI, BUCKETS, KIDIMBWI NA SOUTHERN SUN JIJINI DAR ZAFUNGWA

Kutokana na mlipuko wa virusi vya #Covid_19 hoteli na sehemu mbalimbali zimefungwa kwa ajili ya kulinda afya za wafanyakazi, wateja pamoja na usalama wa biashara

Kidimbwi Beach imesitisha huduma kuanzia Machi 23, 2020 huku Southern Sun ikisitisha huduma kuanzia Machi 26, 2020. Sehemu zote hazijasema zinasitisha huduma hadi lini

Tanzania hadi sasa imethibitisha jumla ya maambukizi 13 huku mgonjwa wa kwanza kuripotiwa akiwa ameshapona. Kati ya Wagonjwa wote, mmoja tu ndio amepatia maambukizi nchini
 
TUNACHUKUA NAFASI HII KUI RAI WIZARA YENYE DHAMANA ((WIZARA YA AFYA)) KUCHUKUA HATUA ZAID NA KUFUNGA MA-BAA NA MAHOTELI NA KUMBI ZA MIKUTANO NA MADISCO NK...

HASA UKIZINGATIA KWAMBA MTU AKISHALEWA POMBE, ANATOKWA NA UMAKINI WA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA, HIVYO NI RAHISI SANA KUWAPELEKEA FAMILIA YAKE VILIO.

HALI YA COVIDI-19 KWA NCHI KAMA YETU NI HATARI HATARISHI ZAID SANA.
 
Back
Top Bottom