Corona yatua Rwanda, muathirika ana asili ya Kihindi

Corona yatua Rwanda, muathirika ana asili ya Kihindi

Japo cases za maambukizi zinaweza fikia hata namba fulani ndogo,lkn Mpaka sasa afrika nzima amekufa mtu mmoja tu na hakuwa mwafrika ila amefia ghana or misri sikumbuki vzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wanalazimisha Corona iwepo Tz. Yaani mkisikia ipo ndio roho zenu zitatulia. Haya basi tukubaliane IPO tujihadhari.
Kuna watz wape story za kuzusha au uongo uone watakavyoeneza.
Angalia hapa JF thread kibao za umbea.

Ugonjwa wenyewe CORONA, haufichiki hata kidogo. Serikali itakuwa na interests gani kuficha?
Yaani mtu akirusha umbea whatsap serikali ikubali tu.

Ikipatikana case moja tu, watu wote waliosalimiana au kuwa karibu na mgonjwa, dereva aliyembeba, wasafiri wenzake wa karibu watapewa quarantine! Sasa unawezaje kuficha jambo Kama hilo? Na interest ya serikali ni ku contain ugonjwa.
 
Hapa kwetu bado hatujaambiwa asili ya muathirika, tunajua tu ni raia wa Kenya.

Rwanda wametaja asili kabisa ili tufahamu hiki kitu kimekaa vipi.

=====
Rwanda announced on Saturday its first case of the new coronavirus, Covid-19.

In a statement, the health ministry said the patient is an Indian citizen who arrived in the country from Mumbai on March 8.

“An Indian citizen who arrived from Mumbai, India on March 8, 2020 has tested positive for Coronavirus (Covid-19). The patient had no symptoms upon arrival in Rwanda and reported himself to a health facility on March 13 where he was immediately tested,” the ministry said.

Rwanda confirms first coronavirus case
 
Wololo….This thing is gonna get serious very soon on the African continent
 
Tz ipo sema serikali yetu kama kawa bado haijaona ni ishu ya kutangazwa kwa Sasa. Sisi tutakuwa wa mwisho kutangazwa. Ndio Mana tunasisitizwa tunawe maji yanayotiririka
Wachukue tahadhari tu kwa yeyote wanayomkuta nayo, kama hawataki kutangaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kutishana corona bongo haipo na kweli kuna watu wanaisubiri kwa hamu sana madaktari na wanaowapima hao wageni wanawaambia haipo nyie mnakazania imeingia sijui moshi uko

Stori zenu za udaku izo zitawaangamiza kwa woga wa kitu ambacho hakipo.
Tulieni ikiingia mtapashwa

NB: TAHADHARI MUHIMU CORONA IPO JAPO HAIJATUFIKIA NA INAUA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom