ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Unataka kusema nini hapo?Kote huko waliougua si waafrika ni wageni
Pia Namibia leo wamepatikana couple mtu na mke wake raia wa Spain wametua nao na washatengwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watz wape story za kuzusha au uongo uone watakavyoeneza.Kuna watu wanalazimisha Corona iwepo Tz. Yaani mkisikia ipo ndio roho zenu zitatulia. Haya basi tukubaliane IPO tujihadhari.
Athari za corona virus kwa mtu mweusi ni kwa kiwango cha chini mno...si mimi bali numbers ndio zinatuaminisha hivyo
For those who do not understand English, "jambo hili la Corona ni Sirikali"Live or die win or lose also Tz we HV corona but is very secret
Kuna mgonjwa wa corona umemshuhudia?IPO jamaa angu, nchi yako uijui kwenye uozo wenyewe wanapulizia marashi kuua soo
Wachukue tahadhari tu kwa yeyote wanayomkuta nayo, kama hawataki kutangaza.Tz ipo sema serikali yetu kama kawa bado haijaona ni ishu ya kutangazwa kwa Sasa. Sisi tutakuwa wa mwisho kutangazwa. Ndio Mana tunasisitizwa tunawe maji yanayotiririka
mimi hapa ninayo coronaKuna mgonjwa wa corona umemshuhudia?
Kama ni wewe mwenyewe sawa.mimi hapa ninayo corona
unataka ushuhuda gani mwingne?