Coronavirus reference labs: Africa hatumo ukiacha SA ambako wenye labs ni wazungu

Coronavirus reference labs: Africa hatumo ukiacha SA ambako wenye labs ni wazungu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Waafrika wenzangu.

Janga hili mchango wetu ni upi? Angalia hakuna reference lab for confirmatory testing of corona testing Africa ukiacha South Africa ambako, I guess ni wazungu! Serikali zetu zipate funzo ku support research in our countries.

1587031747702.png
 
Attachments

Afrika hatuna mambo ya utafiti na wala haijawahi kuwa kwenye budget zetu, sisi ni wanufaikaji wa tafiti zinazofanywa na Wazungu.

Kwa hizi bajet za kutegemea wahisani elimu haipewi umuhimu wowote na ni ya kiwango duni sana kiasi kwamba hatuwezi kuwa na watalaam wa kuweza kufanya utafiti wowote.

Hatuwezi, kwa mfano, tukaacha kununua vifaa vya kudhibiti maandamano kama silaha na magari ya kubeba maji ya washa washa eti badala yake tununue vifaa vya maabara. Never in Africa.
 
Hatuwezi, kwa mfano, tukaacha kununua vifaa vya kudhibiti maandamano kama silaha na magari ya kubeba maji ya washa washa eti badala yake tununue vifaa vya maabara. Never in Africa.
Tuna fedha za kununua wapinzani na kurudia chaguzi kila siku ila za kuwekeza kwenye tafiti hatujawahi kuwa nazo.
 
Hizi mambo Afika bado sana kinachokwamisha hata budget ikitengwa bado kutakuwa na embezzlement yaani shida tupu
 
Waafrika wenzangu.

Janga hili mchango wetu ni upi? Angalia hakuna reference lab for confirmatory testing of corona testing Africa ukiacha South Africa ambako, I guess ni wazungu! Serikali zetu zipate funzo ku support research in our countries.

Hongera kwao Wasenegal, pamoja na kuwa weusi tii, Sasa si Waafrica tena.
 
Back
Top Bottom