Coronavirus: Silaha ya kibaiolojia inayotumika kulinda sera ya ujamaa dhidi ya Sera ya kibepari ya maandamano

Coronavirus: Silaha ya kibaiolojia inayotumika kulinda sera ya ujamaa dhidi ya Sera ya kibepari ya maandamano

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
Aliyetengeneza hiki kirusi pengine hakujua kitasambaa kiasi hiki Nina uhakika hofu iliyopo Duniani kwa sasa dhidi ya Coronavirus ni kubwa kuliko Silaha za maangamizi ya Nuclear

Hakuna mwanadamu popote Duniani ataandamana kwa sasa

Hii itakuwa na athari ya muda mfupi juu ya uchumi wa Dunia lakini ni ushindi wa nchi zenye utawala wa kiimla

Kwangu Mimi pengine tangu vita vikuu vya pili vya Dunia hakuna hofu iliyowahi kuiadhibu Dunia kama hofu hii ya Coronavirus

Nadhani hii itawekwa kwenye kumbu kumbu za vitabu na vichwa vya watu kuwa mkusanyiko ni hatari kwa Corona Virus

Kwa hiyo Sera ya maandamano kama shinikizo la mabeberu kuziangusha Serikali mbalimbali Duniani zinaenda kugonga mwamba

Usije kushangaaa hata uchaguzi wa mwaka huu usifanyike Tanzania na hata Marekani kwa hofu ya Corona virus
 
Nigrastratatract,

Ni hatari sana, hata ww uliyeandika hili wazo kwa coronavirus hii ilivyo hatari yawezekana hata maoni yetu hapa usiyasome yote. Lakini tunashukuru kwa wazo lako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Back
Top Bottom