YonDu Udonta
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 723
- 569
Wakuu Naomba Tujadiliane Hapa, Najua Wengi Wetu Tu Tumefanya Uagizwaji Wa Logistics Mbalimbali Kutoka China.
Mfano Mimi Nimenunua Vitu Kama Vitatu China Kabla Ya Kuzuka Kwa Ugonjwa Wa CoronaVirus Lakini Sasa Kila Niki-Truck Hizi Percels Naona Zilitoka Kwa Beijing Zikaenda Sijui Hubei Mara Sijui Guanzhou (naeza kukosea spelling hapa) Lakini My Point Ni Kwamba Zinazunguka Pale Pale.
Sasa Sijui Nifanyeje, Nisubiri Tu Niwe Mpole Au?
UPDATES: Nilicomplain... yule Seller akanishauri nifungue hoja ya kuwa refunded, wamenirudishia pesa yangu, ila ameniambia tatizo sio Coronavirus bali ni uzembe tu wakawaida au wizi ulitaka kufanyika, so wakuu manunuzi bado yanaendelea
Sent from my iPhone using JamiiForums