Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zikifika inabidi tuzipime joto kwa kujiridhisha na hatua za awali, pili mizigo yako ikija itabidi wewe na mizigo yako tuwapeleke quarantine maana haiwezekani muwe na wasiwasi kiasi icho na COVID 19
Du bila shaka wanataka kuniingiza chaka ohhoooView attachment 1356014
Du bila shaka wanataka kuniingiza chaka ohhoooView attachment 1356014
Hili ni janga,,,Kuna matajiri wako kwenye Meli nao wanazungushwa tu baharini hawafiki kwao kila nchi inawakataa,wamelia mpaka sauti zimewakauka,
Hapana ni Ali express
Sure biashara ziende aiseeNnachojua ni kwamba licha ya virusi china wako kwenye likizo/sikukuu ambayo itakwisha tarehe 18/02
Kwahiyo tutegemee huduma zao zitaanza baada ya tar18,
Hatakama zitakuwa slow lakini zitakuwa hewani.
Sent using Jamii Forums mobile app
14 khaaaaaa.....!!!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kausha tu mkuu hiyo ni ajali kama zilivyo ajali nyingine! Ni sawa na mfano unajenga ghorofa halafu ghafla likatokea tetemeko la aridhi la richter scale ya 14!
.