CoronaVirus: Tulioagizia mizigo yetu China tufanyeje?

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
723
Reaction score
569
Wakuu Naomba Tujadiliane Hapa, Najua Wengi Wetu Tu Tumefanya Uagizwaji Wa Logistics Mbalimbali Kutoka China.

Mfano Mimi Nimenunua Vitu Kama Vitatu China Kabla Ya Kuzuka Kwa Ugonjwa Wa CoronaVirus Lakini Sasa Kila Niki-Truck Hizi Percels Naona Zilitoka Kwa Beijing Zikaenda Sijui Hubei Mara Sijui Guanzhou (naeza kukosea spelling hapa) Lakini My Point Ni Kwamba Zinazunguka Pale Pale.

Sasa Sijui Nifanyeje, Nisubiri Tu Niwe Mpole Au?

UPDATES: Nilicomplain... yule Seller akanishauri nifungue hoja ya kuwa refunded, wamenirudishia pesa yangu, ila ameniambia tatizo sio Coronavirus bali ni uzembe tu wakawaida au wizi ulitaka kufanyika, so wakuu manunuzi bado yanaendelea





Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yan we jamaa una thamini sana hiyo mizigo yako kuliko utu?Yani si tufe na corona kwa vimzigo vyako vya kikuu? We tulia tu watu wameagiza ma kontena na wameelewa wanasubr hadi mwezi wa nane huko? Ebu msituletee shida China na uwezo wao wanasumbuka na hyo virus sisi tunaanzia wapi wakati tuna mambo mengi ya msingi ya kufanya tujikomboe na umasikini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Ni Vimizigo Lakini Unajua VinaniCost Tsh Ngapi...

"...cha mtu m*vi..."





Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu Ni Vimizigo Lakini Unajua VinaniCost Tsh Ngapi...

"...cha mtu m*vi..."






Sent from my iPhone using JamiiForums
Siku unavipokea ndio unakufa unakatika cost ya kukatika na kuviacha vibaki huko huko ipi kubwa?
 
Acha wivu wakike bwana ufe kwa korona kivp hv umeelewa alichokiuliza ama wivu wakimama umekujaa.....hajakwambia ameagiza mxigo wenye corona kakwambia kaagza mzgo wa viatu na unazungushwa tu nyau wewe😐
 
Mi vyangu vimefika lakin naona custom clearance failure...sa sijui ndio wabongo wametembea na chorus ya corona
 
Mimi kuna items nimenunua nikawa nashangaa mbona seller hatumi, ikabidi nimtumie text ndiyo akasema hawezi kwenda Post office na office zimefunga mpaka pale zikifunguliwa kwa sababu ya virus
 
Mkuu agizia Roast ya kitimoto na johnny walker ushushie...[emoji3][emoji3][emoji3]

Acha wivu wakike bwana ufe kwa korona kivp hv umeelewa alichokiuliza ama wivu wakimama umekujaa.....hajakwambia ameagiza mxigo wenye corona kakwambia kaagza mzgo wa viatu na unazungushwa tu nyau wewe[emoji52]




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi kuna items nimenunua nikawa nashangaa mbona seller hatumi, ikabidi nimtumie text ndiyo akasema hawezi kwenda Post office na office zimefunga mpaka pale zikifunguliwa kwa sababu ya virus

Amerudisha pesa sasa?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
POLE,KUNA JAMAA YANGU AMEKUTA MADUKA YAMEFUNGWA CHINA KAGEUZA BILA MZIGO,WE FANYA SAMEHE TU..
 
Leo wametuma yangu.
Ila nimechat na customer care wao wanasema wataship mara 1 kwa wiki
 
Mkuu kuwa na akili basi unafikiri wachina wao wanafurahia kufunga biashara kwa muda wote huo kuwa mpole kidogo basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…