Silas Samuel
JF-Expert Member
- Apr 18, 2024
- 873
- 628
Economic Hitmans: tunapaswa kufahamu ni watu wanaolipwa Fedha nyingi sana ili kushawishi Nchi maskini Kukubali miradi inayoleta maendeleo machoni kwa watu lakini Kudumiza maendeleo ya Nchi Nzima... zaidi hufanywa katika nchi za Africa, Je mashirika Hayo, yataitaji Serekali itayoweza kupinga njia Zao za kunyonya Nchi Yetu ya Tanzania, Hapana Lengo lao kubwa Nikuakikisha Hata madaraka ya serekali hayatadhuru sera zao zakunyonya Nchi Yetu, Je Tunaeza Vipi Kutoka Kwenye Kifungo Hiki kitachotusibu miaka kwa miaka Njia Ipo Kama Utawala wa Nchi utaweza kusimama imara kwa mabeberu wanao nyonya Nchi yetu kwakuweka vikwazo bila kujali, vikwazo vyao kwani na sisi Tunaweza bila Wao.
Tunapaswa kufahamu Deni linapochelewa kulipwa kama IMF na WB wanavyotarajia Pale wanapotoa Msaada wa kifedha katika Nchi masikini Ni kushikilia Rasili mali zao bila Kupenda kwa Nchi yenyewe ama kuweka Millitary Base Katika Nchi hio ama kuchochea sera zao katika nchi hio kama moja ya sera ni nchi hio kuwa Pro-israel ikiwa inamaana serekali ya nchi hio haita support Palestines wala nchi zingine zinazopinga utawala wa Israel kwa Chochote sababu.. moja kuu (AIPAC) imeshikilia America, na America imeshikilia WB,IMF,USAID ETC. hivyo Basi nchi inayopokea msaada kutoka kwa Taasisi hizo itakuwa Chini ya Utawala wa AIPAC(AMERICAN ISRAEL PUBLIC AFFAIRS COMMITTEE).. Ikiwa inamaana serekali itabeba Asilimia Kubwa 76.4% za Deni la Nchi wanapokea kutoka World Bank ama IMF
WHERE IS OUR FUTURE HEADING TUSIPOKUBALI KUSIMAMA KWA BINADAMU KAMA IBRAHIM TRAORÉ,THOMAS SANKARA,GENERAL GADDAFI, PATRICE LUMUMBA, JULIUS MALEMA KWENYE BARA LA AFRICA.....AFRICA inaanza Kuamka kutoka Usingizini
TANZANIA WOKE UP WE ALSO NEED STRONGMEN WITH POWERFULL INTELLEGENCE KUTUONGOZA KWENYE DEMOCRACY YA UKWELI NA KUTUTOA KWENYE UTAWALA WA MABEBERU HAPA AFRICA
LONG LIVE IBRAHIM TRAORÉ🙏🏾💫
FREEDOM BE UPON AFRICAN SOCIETY